Kanuni za Bodi ya Ligi hizi hapa, Kagera kaonewa!

Kanuni
Screenshot_20190529-125003-1.jpeg
 
Soka la bongo michosho ata ukiangali namna timu zinazo kwenda kucheza playoff yaan timu ipo nafasi ya 18 eti inaenda kucheza playoff? huu ulimbukeni mmeutoa wap? timu ya 18 inabidi ishuke daraja sio kucheza playoff yani kwamfano timu zilizo shika nafasi ya 17 na 18 zikicheza playoff alafu zikafuzu kwa maana hiyo tutakua na timu 2 tu zilizo panda daraja hii itakua inaziumiza timu za daraja la kwanza haiwezekani timu zipambane kupanda daraja halafu eti timu nyingine zilizo shindwa kukomaa zisishuke daraja tena mnazipatia playoff ili iweje?
 
Hii timu inabidi ibaki maana imechukua nafasi ya Yanga kuichallenge Simba....
 
Kama nilimsikia afisa mmoja tff akisema hiyo kanuni ilifanyiwa marekebisho kuwa wanaangalia michezo waliocheza kagera na stand ambapo mchezo mmoja kagera alishinda 2 na mchezo wa pili stand ilishinda 3.hivyo kwa mujibu wa kanuni hizo mpya stand anapata nafasi kwa kuwa stand ndo alifanya vizuri kwenye hizo mechi walizocheza.
 
Nawaambia, kina Genta na wenzake hiki mnachotaka kuifanyia timu ya Kagera kitawarudi. Wacha tusubiri yetu macho na masikio.
 
BODI YA LIGI YAIREJESHA KAGERA SUGER PLAY OFF.

HEMED KIVUYO.

Bodi inayosimamia ligi kuu Nchini imekiri Kuwepo kwa Makosa ya takwimu Na kuirejesha timu ya Kagera suger katika ligi kuu ambapo sasa inacheza hatua ya play off.

Akingea Na ITV mtendaji mkuu wa bodi hiyo Boniface wambura AMESEMA kwa Makosa hayo ofisi yake inawajibika kwa kumpa adhabu aliyepotosha takwimu hiyo.

Kwa Mustakabali huo timu ya Stand United in ashuka daraja moja kwamoja Na Kagera suger italazimika kucheza michezo miwili ya play off ili kupata ridhaa ya Kuendelea Na ligi kuu msimu ujao
 
Soka la bongo michosho ata ukiangali namna timu zinazo kwenda kucheza playoff yaan timu ipo nafasi ya 18 eti inaenda kucheza playoff? huu ulimbukeni mmeutoa wap? timu ya 18 inabidi ishuke daraja sio kucheza playoff yani kwamfano timu zilizo shika nafasi ya 17 na 18 zikicheza playoff alafu zikafuzu kwa maana hiyo tutakua na timu 2 tu zilizo panda daraja hii itakua inaziumiza timu za daraja la kwanza haiwezekani timu zipambane kupanda daraja halafu eti timu nyingine zilizo shindwa kukomaa zisishuke daraja tena mnazipatia playoff ili iweje?
sijui wameiga wapi hili
 
Kama nilimsikia afisa mmoja tff akisema hiyo kanuni ilifanyiwa marekebisho kuwa wanaangalia michezo waliocheza kagera na stand ambapo mchezo mmoja kagera alishinda 2 na mchezo wa pili stand ilishinda 3.hivyo kwa mujibu wa kanuni hizo mpya stand anapata nafasi kwa kuwa stand ndo alifanya vizuri kwenye hizo mechi walizocheza.
huyo afisa wa TFF ni nani, mbona wamebatilisha sasa, ni nani yuko sahihi?
 
Hao ndiyo nasema hawatabaki salama kwenye hili sakata. Kama kweli waziweke hizo kanuni hapa na marekebisho take tuyaone. Siasa na fitina kwenye michezo hazifai hata kidogo
Kama nilimsikia afisa mmoja tff akisema hiyo kanuni ilifanyiwa marekebisho kuwa wanaangalia michezo waliocheza kagera na stand ambapo mchezo mmoja kagera alishinda 2 na mchezo wa pili stand ilishinda 3.hivyo kwa mujibu wa kanuni hizo mpya stand anapata nafasi kwa kuwa stand ndo alifanya vizuri kwenye hizo mechi walizocheza.
 
Soka la bongo michosho ata ukiangali namna timu zinazo kwenda kucheza playoff yaan timu ipo nafasi ya 18 eti inaenda kucheza playoff? huu ulimbukeni mmeutoa wap? timu ya 18 inabidi ishuke daraja sio kucheza playoff yani kwamfano timu zilizo shika nafasi ya 17 na 18 zikicheza playoff alafu zikafuzu kwa maana hiyo tutakua na timu 2 tu zilizo panda daraja hii itakua inaziumiza timu za daraja la kwanza haiwezekani timu zipambane kupanda daraja halafu eti timu nyingine zilizo shindwa kukomaa zisishuke daraja tena mnazipatia playoff ili iweje?
Kama timu inataka kupanda daraja inashindwa kupambana na mtu alieshika nafasi za mwisho kwenye ligi..huko ligi kuu anaenda kufanya nini??

Huu utaratibu upo hata bundersliga ya ujerumani
 
Kama nilimsikia afisa mmoja tff akisema hiyo kanuni ilifanyiwa marekebisho kuwa wanaangalia michezo waliocheza kagera na stand ambapo mchezo mmoja kagera alishinda 2 na mchezo wa pili stand ilishinda 3.hivyo kwa mujibu wa kanuni hizo mpya stand anapata nafasi kwa kuwa stand ndo alifanya vizuri kwenye hizo mechi walizocheza.
Kwahiyo km Simba na Yanga zingefungana point alafu yanga angekuwa na magoli mengi kuliko Simba, Simba angepewa ubingwa kisa mechi ya kwanza walidroo na ya pili Simba alishinda!!!

Huu ni uzwazwa
 
Timu zinashuka daraja ya nini kupewa nafasi nyingine basi semeni hizi ni timu za kudumu kwenye ligi kuu, hizo zingine zitafute ligi yao
 
Back
Top Bottom