Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Utaratibuwa kuhesabu kura na kutangaza matokeo
21 (a) Kazi ya kuhesabukura itafanyika tu wakati
ambapo kuna mwanga wakutosha na wa
kuaminika na mahaliambapo kuna ulinzi na
usalama madhubuti.
(b) Kiwango cha kura katika kufikiauamuzi wa
mshindi katika uchaguzi usio wakundi ni zaidi
ya nusu ya kura zote halalizilizopigwa. Kura
halali zilizopigwa nikuondoa kura zilizoharibika.
Katika uchaguzi wakujaza nafasi nyingi kwa
pamoja (Uchaguzi wakundi) ushindi utahesabiwa kwa kufuata wingi wa kura alizopata mwombaji.
Source:Kanuni za Uchaguzi za CCM, Toleo la Februari 2010.
Kwa hiyo wamevunja kanuni eeh chama gani kisichokuwa consistent?
Sarakikya alikuwa ahamie CHADEMA na sasa wakaona Wiliam ana kubalika ndani ya chama na kama atahamia Chadema kutatokea mgawanyiko mkubwa ndani ya chama cha magamba.....ndani ya CCM hata kijana mdogo kama Sarakikya kafanikiwa kuwayumbisha mpaka wameamua kunyonga demkrasia....Hongera SarakikyaKwa hiyo wamevunja kanuni eeh chama gani kisichokuwa consistent?
Magamba ndo yanaanza, we sikilizia mpasuko sasa hiviSafi sana CCM wengine hadi leo wana kigugumizi cha kumpata mgombea! Hongereni CCM kwa demokrasia pana zaidi
Mimi ntawapa hongera wakiirudisha kanuni hii kwenye KATIBA ya JMT kwenye uchaguzi wa Rais. Mkapa alivyohangaishwa na Mrema mwaka 1995 wakaamua kubadili kifungu hiki kwenye katiba!Safi sana CCM wengine hadi leo wana kigugumizi cha kumpata mgombea! Hongereni CCM kwa demokrasia pana zaidi
Kwa nini serikali ya CCM iliifuta kanuni hii kwenye katiba ya JMT kwenye uchaguzi wa Rais ambayo ni muhimu na ya maana zaidi kwa TAIFA? Sasa hivi Rais wetu anapatikana kwa kura zozote zile ilimradi kawazidi wagombea wenzake hata kwa tofauti ya kura moja.
Kimsingi wanahangaika na jinamizi na kivuli cha Lowasa. Mara nyingi tu wamechukua hadi mshindi wa tatu kwenye kura za maoni kama walivyofanya kwa Dr Kigwangala na wengine wengi.Mbona hiyo Kanuni hatukuiona kwenye uchaguzi wa 2010 wa kuwapata yagombea ubunge wa CCM?
Dr, Kigwangalah alikuwa wa TATU na bado akachaguliwa kupeperusha bendera ya CCM. Kama wanampenda
sana huyo William aliyetishia kuhamia CDM kwanini wasipe yeye kuliko kupindisha katiba yao?
CCM mabingwa wa kuhamisha post wakati mchezo ukiwa dk 45 tayari (read half time)
Safi sana CCM wengine hadi leo wana kigugumizi cha kumpata mgombea! Hongereni CCM kwa demokrasia pana zaidi
Safi sana CCM wengine hadi leo wana kigugumizi cha kumpata mgombea! Hongereni CCM kwa demokrasia pana zaidi
Utaratibuwa kuhesabu kura na kutangaza matokeo
21 (a) Kazi ya kuhesabu kura itafanyika tu wakati ambapo kuna mwanga wakutosha na wa kuaminika na mahaliambapo kuna ulinzi na usalama madhubuti.
(b) Kiwango cha kura katika kufikiauamuzi wa mshindi katika uchaguzi usio wakundi ni zaidi ya nusu ya kura zote halali zilizopigwa. Kura halali zilizopigwa nikuondoa kura zilizoharibika.
Katika uchaguzi wakujaza nafasi nyingi kwa pamoja (Uchaguzi wakundi) ushindi utahesabiwa kwa kufuata wingi wa kura alizopata mwombaji.
Source: Kanuni za Uchaguzi za CCM, Toleo la Februari 2010.