Kwani unaogopa nini?mbona umekasirika sanaUnaota wewe. Nani kakwambia India ukituma rupee kiasi kadhaa kwa shangazi yako ambaye yuko hapo hapo India inabidi utoe taarifa kama hii sheria yenu mpya ya kikomunisti inavyotaka? Hata kama una mapenzi na huu ushetani, mambo mengine ni vema kuyanyamazia tu. Nani kakwambia kwamba BOT huwa haijulishwi na mabenki ya biashara kuhusu pesa wanazotuma na kupokea kutoka nje?
Hadi vidola 1000 navyo mnavimaindi, hivi hii.mentality ya kimasikimasikini nani aliwapandikizia hawa watu?
Huwezi kubanabana flow ya pesa hata hizi ndogo ndogo kisha ukadhani unasaidia flow ya mitaji na business kwa watu wa kipato kidogo na cha kati
Yaani kutuma milioni 2.3 kwa simu inahitaji kibali??..wtf
Hizi kanuni ni nani anayeziandaa??
Benki gani mkuu ukitoa chini ya 1000$ hawakati, nimeshatumia bank tatu, CRDB, KCB na FNB zote wanakata ukitoa kwa USD.Kwa Bank niliyopo mimi chini ya US$ 1,000 unatoa bila kukatwa chochote, juu ya hapo ndiyo wanakata asilimia moja ya kuanzia US$ 1,000 and above...
Cc: mahondaw
Kwani unaogopa nini?mbona umekasirika sana
Kama hutajisikia vibaya ungenisaidia tu jina la bank na aina ya USD acc ambayo kwa kutoa chini ya 1000 hawakukati chochote, kuna karibia bank 20 Tz kutaja zote sidhani kama italeta ahueni.
Benki gani mkuu ukitoa chini ya 1000$ hawakati, nimeshatumia bank tatu, CRDB, KCB na FNB zote wanakata ukitoa kwa USD.
Ndo hivyo boss kwa kanuni yao hiyo..pathetic manEm subiri kidogo, hata kutuma tigo pesa 3m nahitaji kibali. Hii nchi imewashinda!
1000$ ni kwa mitandao ya simuKwenye kiwango kuna mahali umeweka 1000$ na kwingine 10,000$, kiwango ni nini?
Nyie watu masikini eti mnataka wote tuwe masikini... Haiwezekani. Hata Stalin wa Urusi na Mao wa China hawakuweza japo walijaribu. All your policy experiments have failed elsewhere. Unfortunately, you do not learn from history.
Sijaelewa maana ya hii kitu kwa kweli.
Tayari tunayo sheria na kanuni za antimoney laundering.
Kanuni hizi zinaelekeza kila bank inatakiwa kutoa taarifa ambazo kwa mihala ya aina yoyote ambayo sio ya kawaida inayofanywa na wateja wao "suspicious transactions". Mabank yamepewa nguvu za kutokufanya mihamala hiyo ikibidi. Serikali binafsi imeishatumia mamilion ya pesa kuwa train maafisa wa bank namna ya kutambua mihamala yenye mashaka, Mabank pia yamewekeza pesa nyingi sana kwenye kutrain wafanyakazi wao, yamewekeza kwa kuajiri na kuwalipa mishara mizuri sana wafanyakazi ambao ni mahusi kwa kuangalia mihala hiyo na yamewekeza pesa nyingi sana kwenye teknologia ya utambuzi wa mihala yenye mashaka.
Sasa inamaana hayo yote ni bure? au kanuni hizi zinafanya kazi kwa pamoja?
serikali inauwezo wa kuipitia mihamala yote hii au ndio inataka kuingilia private financial affairs zetu, financial surveillance ya namna hii inatia mashaka na ninaamini imetengenezwa katika misingi ya ujinga wa uongozi.
mtu yeyote anayefikiria anaweza kucontrol kila kitu ni mjinga tu.
Ukitoa USD cash chini ya 1000$ haukatwi % yoyote huko kwingine, CRDB wanapiga 1% , KCB 3% huu ni wizi wa mchana, nipe idea huko kwingine kuna afadhali?Makato ya kwenye $ account CRDB yalianza zamani sana. Nililazimika kufunga hapo na kufungua pengine ambako wakati huo kulikuwa hakuna makato.
Mkuu sidhani kama hili suala litaleta usumbufu kama unavyolibeba. Miamala ya zamani iliyokuwa inapitia FIU ulikuwa unacheleweshwa sana sana kwa nusu saa hadi saa moja. Huo muda sioni ukileta usumbufu mkubwa kama mnavyotaka kulibeba hapa kisiasa zaidi.
Mkuu ebu kuwa wazi, sera kama hii inakuathiri vipi wewe? Kusubiria 15min bank ili wapate go ahead ya BOT na FIU? Kwa miaka kadhaa sasa hata ukitoa hata 10m na zaidi bongo unasubirishwa kama 15-30min, umeona madhara yoyote?Siasa inaingiaje hapa wakati hii ni habari ya kiuchumi? Hizi ni sera za nchi zilizo duni kama Korea ya Kasikazini, Ethiopia, Cuba, nk. Siyo sera za nchi zilizopiga hatua za kiuchumi. Hata hapa TZ tunajua hivyo. Nyerere alijaribu kupita njia hiyo na sisi tuliokuwepo wakati huo, tunajua nini kilitokea. Mwinyi, Mkapa na Kikwete wakaja wakarekebisha. Sera za kijamaa haziwezi kuleta maendeleo popote duniani. Hawa wanaturuisha nyuma sana. Kurekebisha tena baada ya hawa jamaa kutoka itakuwa kazi ngumu sana.
Ukitoa USD cash chini ya 1000$ haukatwi % yoyote huko kwingine, CRDB wanapiga 1% , KCB 3% huu ni wizi wa mchana, nipe idea huko kwingine kuna afadhali?
Mkuu ebu kuwa wazi, sera kama hii inakuathiri vipi wewe? Kusubiria 15min bank ili wapate go ahead ya BOT na FIU? Kwa miaka kadhaa sasa hata ukitoa hata 10m na zaidi bongo unasubirishwa kama 15-30min, umeona madhara yoyote?
1000$ ni kwa mitandao ya simu
10000$ ni benki na kwingine