NOKIALUMIA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 396
- 279
Ngoja nikuambie kitu kijana mwenzangu wa kiume unayetaka kuoa! epuka kumuoa binti anayekujua vizuri kuwa unamaisha mazuri! hata maisha magumu yote mipango mungu!
Kama unajiona unamaisha mazuri tafuta binti ambaye hata kama humjui vizuri peleleza tu ukiona mambo safi muoe .
Epuka kuoa mwanamke anayekujua maisha yako mazuri ila unaweza kuoa binti anayekujua maisha yako ni magumu au wastani!
NB, wanawake wanapenda hela! ukiwa na hela utamuoa ila lazima upendo wake uende kwa anayependwa sio wewe la msingi punguza kiki ndugu yangu hata kama unamaisha mazuri acha kutongoza kwa kiki jifanye huna utapata jiko la maana tu.
Wanawake wote ni wazuri hata yule unayemuona mbaya mchukue halafu mpe huduma za kutosha mavazi sana ,mapambo mengi, pafyum, saloon nk atakuwa mrembo tu ukitaka chukua kichwani usipotaka acha yakiwa magumu binti unampa kila kitu lakini anachepuka usilete taarifa.