Kanuni 30 kwa wanawake ndani ya ndoa

Kanuni 30 kwa wanawake ndani ya ndoa

Hii siisomi; ikiletwa ya kanuni 10 za wanaume ndo ntakuja. Shikamoo baba, wigi langu limeisha now halifuati direction ya kichwa.
Teh teh..Btw namba zote unazimudu..

Ya wanaume 1 hadi 10 si ni kutoa pesa tu..Au mahitaji yenu yamebadilika..

Teh teh..Ntakuagizia jingine kutoka kwa Da Mange..Mana anasemaga ya huku Tz fake..
 
Weee mahitaji yetu yanabadilika kila siku

Teh da mange alituchamba na mawigi yetu hadi nikakumiss

Teh teh..Hitaji kubwa sio pesa tena..Ashukuriwe Magufuli..kweli huu msimu wa mabadiliko

Da Mange angepata bwana wa maana kama marehemu Babu..Watu wangekoma..Hapo anaishi jikoni lakini shida yake sio ndogo..Angemiliki mjengo wa Machache ingekuwaje..
 
Kweli me nasema jack hakuwa na show off. Wengine tukinunua tu kijiko tunawapostia; sasa ule mjengo ningekuwa napost kakitu kamoja moja daily

Back
Top Bottom