Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,942
- 53,989
- Thread starter
- #41
ZinaandaliwaNa kanuni za wanaume ndani ya ndoa zitililike pia

WanakujaNatafuta mchumba kisha awe mke mwenye sifa zifuatazo
-awe na umri chini ya miaka 24
-awe mwembamba
-awe mweusi au kama mweupe Basi ule wa asili
-awe na elimu ya chuo chochote ngazi ya cheti,diploma au degree hata Kama akiwa Hana kazi haina shida nitampa mtaji mkubwa wa kufanya biashara.
-awe mchaMungu anayeheshimu dini zote ila yeye mwenyewe asiwe mtu wa dini Sana ,pia awe na utambuzi wa Hali ya juu awe haamini Kama Kuna shetani,wala Kuna uchawi awe anajua ukweli kuhusu hizi dhana.
-awe anapenda kujifunza zaidi na hasa kusoma vitabu vya dini zote,ajue angalau history of the world na knowledge ya mambo ya afya hasa kwa kutumia vitu vya asili Kama vyakula, viungo n.k.
-ajue angalau kwa undani knowledge hizi za duniani yaani partial truth Kama vile technology, science, chemistry,physics,laws,nature na kisha ajue deep knowledge ile yenyewe secret knowledge yaani universal Truth aijue na awe tayari tujifunze naye kwa undani kuhusu habari za MUNGU
-awe anapenda kucheza tennis au volleyball yaani kila siku awe tayari kucheza na Mimi
-awe tayari kunitii chochote nitakachomwambia yaani asichoke kunisikiliza
-awe anajali Sana kitu kinachoitwa muda awe anajua umuhimu wa kufanya maandalizi mapema ya Jambo fulani.
-asiwe mtumiaji mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii angalau awe anasoma news za kimataifa,au Kama Ni mtandao nimkute Yuko wikipedia,quora au JAMII FORUM.
-kwenye upande wa siasa awe Anamkubali DKT John pombe Magufuli.
-asiwe Ana ndoto za malengo ya kuja kuwa tajiri Sana kiufupi aridhike na maisha ya kawaida..ajue kabisa mimi Sina mpango wa kununua gari maisha mwangu.
-asiwe mtu wa kuamini Amini habari za kusikia na kusimuliwa kwa maneno.
-awe havai wigi,Wala kusuka suka marasta saloon awe na natural hair.
-asiwe na gubu awe Ni mtu mbunifu wa kuitafuta faraja yaani katika mawazo yake awe anajaribu kugundua vitu ambavyo vitatufanya tuwe na faraja
-asiwe mtu wa kusubiri matatizo yatukute Kama vile magonjwa yaani tuhakikishe tunadhibiti maradhi fulani kabla hayajatukuta kwa kuzingatia kanuni za afya,usafi,chakula, mazoezi n.k.
Kama yupo aliye serious tufanye maisha naomba Ani PM
Turudishie dada yetu [emoji35]Tatizo kubwa yeye ni mchaga, ujue wachaga na mapenzi ni mbingu na nchi, they are not interested
Kweli kabisaHahahaahahahah
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Turudishie dada yetu [emoji35]
Sawa mkuu.Mjitahidi kwa kiasi
Turudishie dada yetu [emoji35]
Sawa mtaniAhsante kwa ujumbe Mtani. Nikazie hiyo namba 08 tu hapo kwa kusema tu siku huwa hazifanani.
Japo hiyo haiwahusu wale Me ambao ukishapita ule mshahara wa mwisho wa mwezi basi hapo ndio mwisho wa kuona hela yake yaani kila anayoipata inaishia Bar au kwa Mipango ya Kando na hao hapaswi kutiwa moyo hata kidogo.
Naye mvumilieHilo siwezi mana mimi ni mkristu na naheshimu ahadi ya ndoa, so huyu ndiye wangu mpaka kifo pamoja na udhaifu huu, yaweza pia kuwa hata yeye kuna vitu hapendezwi navyo juu ya mimi lakini ana umivumilia
Mmh hata kwenye ajira masharti hayako hivii,,Natafuta mchumba kisha awe mke mwenye sifa zifuatazo
-awe na umri chini ya miaka 24
-awe mwembamba
-awe mweusi au kama mweupe Basi ule wa asili
-awe na elimu ya chuo chochote ngazi ya cheti,diploma au degree hata Kama akiwa Hana kazi haina shida nitampa mtaji mkubwa wa kufanya biashara.
-awe mchaMungu anayeheshimu dini zote ila yeye mwenyewe asiwe mtu wa dini Sana ,pia awe na utambuzi wa Hali ya juu awe haamini Kama Kuna shetani,wala Kuna uchawi awe anajua ukweli kuhusu hizi dhana.
-awe anapenda kujifunza zaidi na hasa kusoma vitabu vya dini zote,ajue angalau history of the world na knowledge ya mambo ya afya hasa kwa kutumia vitu vya asili Kama vyakula, viungo n.k.
-ajue angalau kwa undani knowledge hizi za duniani yaani partial truth Kama vile technology, science, chemistry,physics,laws,nature na kisha ajue deep knowledge ile yenyewe secret knowledge yaani universal Truth aijue na awe tayari tujifunze naye kwa undani kuhusu habari za MUNGU
-awe anapenda kucheza tennis au volleyball yaani kila siku awe tayari kucheza na Mimi
-awe tayari kunitii chochote nitakachomwambia yaani asichoke kunisikiliza
-awe anajali Sana kitu kinachoitwa muda awe anajua umuhimu wa kufanya maandalizi mapema ya Jambo fulani.
-asiwe mtumiaji mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii angalau awe anasoma news za kimataifa,au Kama Ni mtandao nimkute Yuko wikipedia,quora au JAMII FORUM.
-kwenye upande wa siasa awe Anamkubali DKT John pombe Magufuli.
-asiwe Ana ndoto za malengo ya kuja kuwa tajiri Sana kiufupi aridhike na maisha ya kawaida..ajue kabisa mimi Sina mpango wa kununua gari maisha mwangu.
-asiwe mtu wa kuamini Amini habari za kusikia na kusimuliwa kwa maneno.
-awe havai wigi,Wala kusuka suka marasta saloon awe na natural hair.
-asiwe na gubu awe Ni mtu mbunifu wa kuitafuta faraja yaani katika mawazo yake awe anajaribu kugundua vitu ambavyo vitatufanya tuwe na faraja
-asiwe mtu wa kusubiri matatizo yatukute Kama vile magonjwa yaani tuhakikishe tunadhibiti maradhi fulani kabla hayajatukuta kwa kuzingatia kanuni za afya,usafi,chakula, mazoezi n.k.
Kama yupo aliye serious tufanye maisha naomba Ani PM
Jambo la msingi sana niko bar kajirengesha mtoto mzuri nikamchomolea kwa dharau ooh mimi nina mke. Nikaita mtu wajikoni achome nyama kabiasa niende nayo home. Kilicho nikuta baada ya kufika home nilitamani kurui bar nimsake yule demuf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sisi tulio kwenye ndoa hayo yote uliyoandika HAYATENDEKI/TEKELEZEKI, huku ni kinyume chake yani hata tendo la ndoa kulipata itakuchukua mda sana ni bora utumie mda huo kutongoza mwanamke mwingine
[emoji23][emoji23]Mmh hata kwenye ajira masharti hayako hivii,,