1. Tujikumbushe Ruto alikua Kiongozi wa vijana KANU. Pia Uhuru Kenyatta aliteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa KANU mwaka 2002.
2. Baadae 2007 majina ya Vyama yakabadilika, 2013 Kenyatta akaunda Chama chake (TNA) na Rutto (URP) pia. Hadi Leo watu wale wale kupitia majina mapya ya Vyama (Kenya Kwanza) kutoka KANU wanapokezana uongozi wa Kenya pamoja na kuwa na inayoitwa katiba Mpya.
NB: KANU, DP, NARC, PNU, TNA, URP, Kenya Kwanza