Kansa Mbarouk kuzuiwa kumkabili Mbowe

Kansa Mbarouk kuzuiwa kumkabili Mbowe

Status
Not open for further replies.
Si kweli ! Waanzilishi ni wachaga, lakini si ya wachaga. Kila kitu kina mwanzo, na ukianza unatafuta watu ambao mna nia moja kwanza, then mnawavuta wengine to join hands kama CDM ilivyo sasa

It is logical truth. Hats Yesu alianza na wagalilaya 12 kama disciples hakuna wa Judea hata moja. Baadaye kwa wayahudi wa majimbo mengine na samaria na mwisho wa nchi.

Support inaanzia nyumbani period.
 
Atakuwa mwenyekiti nyumbani kwako,labda kama huna kwako unalala kwenye verander za lumumba.
ACHENI BIAS. mnachokifanya sio political fair,ni ukandamizaji,umangimeza,uNAZI,udikteta na UKEREKETWA wa kipumbavu.

Ana hoja,msikilizeni. HAKI KAMA ANAYO,NI MUELEWA. SIO MBULULA. Ataipata.

Just a way i can see you this way, you are going to be more worse and problematic twice than the CCM you are condemning. Watu gan wenye jazba ,visasi na uchu namna iyo. chama kisicho na simile kama nn. Hamna mashiko wala msingi wa utu kama mnavyojinadi nyie.

SURE I TELL YOU. TAKE MY WORDS.
 
SURE I TELL YOU. TAKE MY WORDS.[/QUOl
Lakini hajafukuzwa,amejitoa mwenyewe,aliitwa akakacha,so what do you say?
 
It is logical truth. Hats Yesu alianza na wagalilaya 12 kama disciples hakuna wa Judea hata moja. Baadaye kwa wayahudi wa majimbo mengine na samaria na mwisho wa nchi.

Support inaanzia nyumbani period.

Sasa kama ni hivyo,kwa nn ZZK mlimrushaga?? tena kwa mbinde,visasi na vurumai kubao. wazee walimvutavutaaaaaaa,mwisho akakaa mwenyewe!

Haya,huyu tena Mbaruku. Si mchaga na anavombea na Mchaga.

Yaan mbowe this tym angesimama na akina KIMATI,,MZAVA,SHAYO,URIO e.t.c,uchaguzi ungeenda shwari na kwa Mpambano sawia,kweli nakwambia. LAKINI AYA MAJINA MENGINE YAKIBANTU,nyoooooooooooooooooo!!!

You have turned to the concept of the ARYAN RACE IN GERMAN.Chagadema is only for Chaga . only for a special Race.

USHAHIDI NINAO. KAZI TUNAYO Tz.
 
Kansa Mbarouk hawezi kujitokeza ukumbini, labda akapigiwe kura na ccm
 
It is logical truth. Hats Yesu alianza na wagalilaya 12 kama disciples hakuna wa Judea hata moja. Baadaye kwa wayahudi wa majimbo mengine na samaria na mwisho wa nchi.

Support inaanzia nyumbani period.

Asante sana kwa ufafanuzi. lazima uanzie nyumbani. hata Nyerere/Tanu alianzia Dar alipokuwa anakaa na amezoeleka na waislamu.
 
ACHENI BIAS. mnachokifanya sio political fair,ni ukandamizaji,umangimeza,uNAZI,udikteta na UKEREKETWA wa kipumbavu.

Ana hoja,msikilizeni. HAKI KAMA ANAYO,NI MUELEWA. SIO MBULULA. Ataipata.

Just a way i can see you this way, you are going to be more worse and problematic twice than the CCM you are condemning. Watu gan wenye jazba ,visasi na uchu namna iyo. chama kisicho na simile kama nn. Hamna mashiko wala msingi wa utu kama mnavyojinadi nyie.

SURE I TELL YOU. TAKE MY WORDS.[/QUOl
Lakini hajafukuzwa,amejitoa mwenyewe,aliitwa akakacha,so what do you say?

nan kajitoa?? kama ni mbarouk kachomoka baada ya musukosuko milioni. si haba.
 
Mkuu hii post ni Blaa blaa tu umeleta, magamba hakuna lenu hapo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom