Hahaa, Matangazo yameisha. Mtambuzi endelea tafadhari
ndo kawaida yake huyu huwa hamalizii story!Story nzuri sana! Ila nahic haijaisha! Au ndo mama Ngina ndo huyo mama yetu uliyemkimbia!
Mama Ngina anajua kuwa mie nilikuwa mkware na ndio maana akanipenda, maana anajua vimwana weshanikinai, na nimeshakuwa kama Fisi aliyeshiba mifupa hata mizoga sitamani.................
ndo kawaida yake huyu huwa hamalizii story!
ah shemeji shikamoo!
mtambuzi , ni kweli huyu bwana alishafariki... Nilikua na prove maana ungesema humjui huyu mtu ningekua na warakini na wewe. Jioni Njemamanoah nishasema mimi nilikuwa mpiga picha bana.....
Huyo Dudu si alishafariki? au taarifa nilizopata hazikuwa sahihi?
mtambuzi , ni kweli huyu bwana alishafariki... Nilikua na prove maana ungesema humjui huyu mtu ningekua na warakini na wewe. Jioni Njema
Pale kaka kuona ulikua unapafahamu, walikua mafundi wa furniture, je Hussein ally seif ulikua unamfahamu! huyu jamaa nae alikua na studi ya kusafisha picha.... Msamilie mama watoto wakoMkuu bado napata up dates za Tabora maana nilikuwa na marafiki wa ukwee kibaaaaao.............
Pale kaka kuona ulikua unapafahamu, walikua mafundi wa furniture, je Hussein ally seif ulikua unamfahamu! huyu jamaa nae alikua na studi ya kusafisha picha.... Msamilie mama watoto wako
Yeah, jina si geni kwangu, yawezekana namjua si unajua ilikuwa ni some time kitambo,
Watu wangu walikuwa kina Sheby Du, na wakware wengine wa anga za Cheyo ambao tulikuwa tunafukuzia vibinti vya shule....
Mama watoto yuko pouwa kabisa.........
Sheby Du, huyu jamaa na mfahamuu vizuri sana.... hua anapatikana sana maeneo ya kanyenye...
We nawe Neylu vipi..!
Si umeona hapo tuliyamaliza nikiwa na wazee sasa unataka iendelee kivipi....?
Yegoo, mama Ngina ni chombo kipya, yule keshaolewa zamaani ingawa nilitaka kukumbushia akaniwekea mkwara..........
mi mzima shemeji kuhusu twisheni ngoja nimuulize msajili! Kaizer vipi status ya registration?