Habari wana jf,huyu dada ndo chaguo langu kwa ukweli na ana kila sifa ya kuwa mke wangu na tunapendana sana,tatizo linalonisumbua sasa ni kwamba kanizidi km miezi 9 hv,na muda ndo huu wa kuanza michakato ya ndoa.Je ni sahihi kuoa mke aliyekuzidi umri ingawa kwa muonekano ni km mimi ndo mkubwa?msaada plz
Habari wana JF,huyu dada ndo chaguo langu kwa ukweli na ana kila sifa ya kuwa mke wangu na tunapendana sana,tatizo linalonisumbua sasa ni kwamba kanizidi kama miezi 9 hivi,na muda ndo huu wa kuanza michakato ya ndoa.
Je ni sahihi kuoa mke aliyekuzidi umri ingawa kwa muonekano ni kama mimi ndo mkubwa?
Msaada please

We kijana sidhani kama upo tayari kuoa maana naona unajichanganya tu hapa...huyu dada ndo chaguo langu kwa ukweli na ana kila sifa ya kuwa mke wangu na tunapendana sana,tatizo linalonisumbua sasa ni kwamba kanizidi kama miezi 9 hivi,na muda ndo huu wa kuanza michakato ya ndoa.
Je ni sahihi kuoa mke aliyekuzidi umri ingawa kwa muonekano ni kama mimi ndo mkubwa?
yaani hili swali ulitakiwa utuulize kabla hata hujaanza kumsololea. sasa saa hizi si unatutafuta maneno?:caked:
hilo nalo neno