Salaam, Shalom!
Hauwezi kusema ukweli wote bila kuficha, ukabaki salama,
Kanisa la kwanza, hapa kuwa na urafiki kati ya mamlaka na kanisa sababu vitu hivi havichanganani. Yaani uwaambie hadharani kwamba acheni wizi wa kura, utabaki salama kweli?
1. Yohana Mbatizaji aliwaambia polisi, ridhikeni na mishahara yenu .
2. Yohana Mbatizaji akawaambia watoza ushuru, msimwonee mtu mtozeni kilicho halali.
3. Yohana Mbatizaji akawaambia watawala, SI sawa kumnyang'anya nduguyo mke ukamfanya wako, Nini kilitokea, kichwa kilikatwa.
4. Nabii Eliya anamwambia mfalme, mvua haitonyesha isipokuwa kwa neno LANGU, inatoka Amri atafutwe auwawe, Mungu anamnyakua, kumficha asionekane popote.
5. Paulo Mtume anakamatwa, anafungwa, anapigwa ,anapekeka court na kukatazwa kuhubiri injili, Paulo anawajibu, Je tumsikilize Mungu au wanadamu? Wengi wanauwawa.
6. Yohana mwandishi wa KITABU CHA ufunuo,anapigwa anatumbukizwa ktk pipa la mafuta ya moto, anagoma kufa, Kila njia ya kumuua inashindikana, wanaamua kumtupa.
7. Kanisa la ufufuo na uzima, linalirudisha mahala pake lile kanisa la kwanza, kwamba, hauwezi ingia mbingu bila kuteswa, kuumiza wala kuuwawa, ukiona hubughidhhiwi, jua kuwa ww ni mwenda motoni, hujausema ukweli bado, Yesu alisema ukweli mnyofu, akauwawa, nani wewe uishi kwa Amani?
MATOKEO YA KUTESWA KANISA.
1. Injili ilihubiriwa kwa nguvu zaidi na ilienea kwa Kasi.
2. Watawala waliosimama kuzuia injili,waliondoshwa na Mungu mwenyewe, Herode aliliwa na CHANGO AKAFA,Nn nk nk.
NB: Bila kuuwawa ukiihubiri injili, hujaingia mbinguni bado.
Uamsho wa kanisa la siku za mwisho unakuja kwa njia ya mateso sana kwa wengi na kanisa linakusanywa kwa njia hii ya mateso Ili kunyakuliwa.
USIOGOPE, USIOGOPE, USIOGOPE 💪🔥
Mungu ibariki nyikani. Amen