Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,931
Makolokolo una akili ila sometimes dishi lako huwa linahama pale tu yeyote anapokosoa mahaba yako juu ya Simba SC.Hivi ndivyo anafunguka baba mchungaji wa Love Church Mc pilipili....
"Kanisa limenishinda, sasa hivi nahubiri mitandaoni pekee."
Anaendelea kufunguka Mc..
"Pale tulipokuwa tunakutana kila jumapili kwa ajili ya kufanya ibada hatukutani tena na badala yake nimebuni njia mpya ya kuhudumia watu kwa kutumia mitandao ya kijamii."
Kuhusu kuonekana akila bata club baba mchungaji amefunguka....
"Maneno yamekuwa mengi mimi kuonekana Club Element kwenye tukio la Haji Manara, kiukweli mimi nilienda pale kumsapot Manara na sikuangalia kama nipo club, biblia yenyewe haijatukataza kwenda club na kama Biblia ingekataza basi watu wasingekwenda hata Super Dome kufanya shughuli zao huko ".
Kuhusu kugombana na mke wake, baba mchungaji amefunguka....
" Ni kweli nimegombana na mke wangu na chanzo cha kugombana na mke wangu sio kuzaa na mwanaume mwingine kama watu wanavyosema, bali tumepishana kwa mambo yetu mengine na tunazungumza ili kuyamaliza".
Wana familia wa love church tujuane hapa tafadhari View attachment 2881414
kitega uchumi hakijalipaWaumini walikuwa hawatoi sadaka za kutosha kuendesha kanisaπππ.
Ulipe kodi ya eneo, ulipe umeme, maji, wapiga vyombo, fanya masihara nini..π
Naomba niwe katibuLina waumini wangapi aniuzie? Bujibuji Simba Nyamaume kuna Kanisa Huko tukalichukue
Sisi kama wanafamilia wa Love church ni vyema tukilijadili hili swali la baba mchungaji wetu kugombana na mkewe.Makolokolo una akili ila sometimes dishi lako huwa linahama pale tu yeyote anapokosoa mahaba yako juu ya Simba SC.
Hahahaha twende AISEEE, Mimi halinishindi kama Lina wauminiNaomba niwe katibu
Tatizo alikuwa hafanyi βmiujizaβπππ awaulize wenzake.kitega uchumi hakijalipa
Sasa Simba imeingiaje hapo?πππMakolokolo una akili ila sometimes dishi lako huwa linahama pale tu yeyote anapokosoa mahaba yako juu ya Simba SC.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app