Na hao ukiwauliza kuhusu Yesu wanakwambia nini ? Nina uhakika ukiamua hakuna jambo ambalo katika Bible utakosa loophole ya kujitetea.., after all kumwaga bidhaa za watu ilikuwa so unChrist like, they guy who was always supposed to turn the other cheek;
Pia kama kuna maagano tofauti yaani la Kale.., Mara Jipya latest kuliko la Kale na vitu tofauti unasemaje hao jamaa wakikwambia kwamba kuna Agano tofauti wamepewa (kama kuna mtu aliweza kuambiwa / kuwa tested kwa kumtoa mwanae Kafara ingawa kuna Amri inasema usiue)
All in all kwenye mambo ya Imani kusema mwenzako anakosea iwapo wanaokwenda hawalazimishwi wala kuleta madhara kwa mtu baki.., basi sio ustaarabu kuanza kuhumu...