Nikikumbuka utawala wa kikwete ulivyokua unapata tabu na hawa uliyowatajaIkiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.
Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.
Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.
Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.
Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.
Mwenye masikio na asikie
Huwa linasubiri rais akiwa muislamu ndipo linaanza kumsakama,angalia mwinyi NA kikwete walivyosumbuliwa NA kanisa hili,
Ni kama idara ndogo ya ccm hili kanisa,hata lenyewe lina historia chafu ya mauaji huko ulaya dhidi ya watu waliolikataa,
Kwa ujumla kanisa katoliki limeua sana binadamu NA limeenezwa kwa mkono wa damu,ni kanisa lisilotaka mabadiliko
Dunia ilianza kupata maendeleo ya kifikra,kisayansi,kisiasa NA kiuchumi baada ya kulivunja vunja kanisa katoliki NA kuzaliwa KKKT,wasabato,Anglican, na mengine
Hili kanisa lina historia chafu sana NA mpaka leo mapadri wana kesi za kubaka NA kushawishi NA kudhalilisha WATOTO kingono
Unaandika huku unajazba...Dunia ilianza kupata maendeleo ya kifikra,kisayansi,kisiasa NA kiuchumi baada ya kulivunja vunja kanisa katoliki NA kuzaliwa KKKT,wasabato,Anglican, na mengine
Brother sawa bado lipo ila limepungua ile nguvu ya ushawishi after fall of the Roman empire to new independent States hawa jamaa walikua wanafanya uvamizi katika mataifa mbali mbali wakasahau kulinda empire yaoUnaandika huku unajazba...
Kanisa Katoliki halijawahi kuvunjwa vunjwa wala haitokaa itokee...
Yalivunjika ni hayo ukiyoyataja ..maana walikuwa KKKT na Mwanzilishi wao...ila nini kilitokea baada ya hapo...leo tuna makanisa zaidi ya laki moja..
Ila Moja Takatifu Katoliki lipo tangu Yesu alipolianzisha mwenyewe
....Umepiga mule mule