Kweli mashujaa wamekwisha, ina maana mtu kuuliza swali kanisani ni ushujaa!!??
Pumba Express!!.....kumbe wewe hujui kama kanisani huruhusiwi kuuliza swali? pale ni kuomba na kushukuru tu.
Mbona ni kanisa hilo hilo katoliki ndio lilituambia Kikwete ni chaguo la mungu! je wameshawahi kuwaomba radhi Watanzania kwa mateso wanayoyapata kutoka kwa chaguo la mungu?Naliaminia Kanisa Katoliki!
Waumini wa RC wanajulikana kwa utoaji, na Mungu amewajalia kipato, na wanaweza kuchanga pesa yoyote ile bila uwepo wa fisadi!
Kwasasa TUNAONGELEA kupokea michango ya Lowassa!Mbona ni kanisa hilo hilo katoliki ndio lilituambia Kikwete ni chaguo la mungu! je wameshawahi kuwaomba radhi Watanzania kwa mateso wanayoyapata kutoka kwa chaguo la mungu?
Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la DSm (Askofu Nzigilwa) amesema kuwa "Kanisa Katoliki halijamualikwa Mh. E. Lowasa katika Harambee ya kuchangisha pesa kwa ajili ya sherehe za Uzinduzi wa Jimbo Katoliki la Ifakara kama ilivyoripotiwa hapo awali.
Askofu Nzigilwa aliyasema hayo alipokuwa akijibu shwali toka kwa mmoja wa viongozi wa Parokia walioshiriki katika kikao cha pamoja cha Tathimini ya Mavuno 2011, Msimbazi Centre DSM.
MY TAKE: TUNASHUKURU SANA KANISA KATOLIKI KWA KULIONA HILI na viongozi wa kanisa Katoliki kwa kupitia mada zetu hapa JF. Hongera pia kwa kiongozi aliyeuliza hilo swali kuhusu mwaliko wa Mh. E. L kanisani kwa moyo wako wa ushujaa.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Mbona ni kanisa hilo hilo katoliki ndio lilituambia Kikwete ni chaguo la mungu! je wameshawahi kuwaomba radhi Watanzania kwa mateso wanayoyapata kutoka kwa chaguo la mungu?
Ni kwa sababu gani hawamwaliki? Kwa vile ni mgonjwa au yeye mwenyewe (EL) ametoa udhuru wa kutohudhuria tokana na ushari wa daktari kupungunza muda wa kazi kwa mapumziko? Je ni kwa vile wamegundua pesa anazotoa ni zile pesa chafu?
Pumba Express!!.....
Hawakuwa kwenye ibada bali kwenye kikao.
Ni kwa sababu gani hawamwaliki? Kwa vile ni mgonjwa au yeye mwenyewe (EL) ametoa udhuru wa kutohudhuria tokana na ushari wa daktari kupungunza muda wa kazi kwa mapumziko? Je ni kwa vile wamegundua pesa anazotoa ni zile pesa chafu?
Mbona ni kanisa hilo hilo katoliki ndio lilituambia Kikwete ni chaguo la mungu! je wameshawahi kuwaomba radhi Watanzania kwa mateso wanayoyapata kutoka kwa chaguo la mungu?
Isije ikawa kwa sababu ni mgonjwa!
Askofu amesema HALIJAMUALIKA, wewe kwenye title umeandika HALITAMUALIKA !!! Ni vitu viwili tofauti. Inawezekana halijamualika lakini akahudhuria na asifukuzwe! Inawezekana pia halijamualika (kwa hadi sasa) lakini litamualika (hapo baadae harambee itakapokaribia). Narudia tena, HALIJAMUALIKA is not necessarily HALITAMUALIKA
Mbona ni kanisa hilo hilo katoliki ndio lilituambia Kikwete ni chaguo la mungu! je wameshawahi kuwaomba radhi Watanzania kwa mateso wanayoyapata kutoka kwa chaguo la mungu?