kanipa likizo mpaka kombe la dunia liishe.

kanipa likizo mpaka kombe la dunia liishe.

Evz

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
674
Reaction score
130
jamani wana jf. Sio kama nimetunga ila nikweli. Shost yangu kapewa likizo na bwana wake mpaka kombe la dunia liishe. Hv kweli ni haki? Eti tv ipo na tbc1 na tbc2 zipo lakini anaenda kuangalia mpira kwenye bar...duh? Badirikeni jaman mnadanganya mnaenda kwenye mpira kumbe mnaenda kuchepuka.
 
jaman embu tuwe tunajiamini bwana hata mwanafunzi angeweza kusomea nyumban lakin kuna shule ili apate changamoto kutokka kwa wanafunzi wenzie, vivyohvyo kwa waxhabiki wa mpira.. Mpira haunogi kama unatumbuliana jicho na mkeo
 
muache michepuko kisa kombe
 
Ngoja mimi niende huko huko bar mwanamke alale nyumban kwanza nataka nimuone Ronaldooooo
 
Kama vipi muandamane maana niliona post nyingine kama hili simply means hamtendewi haki.
 
akienda bar muage nawe unatoka waenda mziki ingawa home upo...
 
Duuuh!mwambie shost ako avae kimitego aone nguvu ya kipochi manyoya,WC itasahaulika mbona!!
 
Huyo jamaa ametumia akili ili kuepusha mgogoro kwenye ndoa Maana wanawake kwa kutojali wenzao mnaongoza unakuta wewe kuna vitu unapenda jamaa anajitahidi lakini wewe ni kinyume chake.jamaa ili kupunguza matatizo kampa likizo na unaweza kukuta hana hata mchepuko ila ni kutaka kuwa huru na kutopenda kumkera mke wake tu
 
Back
Top Bottom