Kaniomba mwenyewe

Pole sana,msamehe bure.....maisha yaendelee!
 
Amekuona huna shughuli za maana ndio maana kakuacha kwenye mataa
 
mkuu mambo ya pesa yana vituko..wewe shukuru kwa hilo kwani ingetokea ukiwa nae mkapata balaa lolote kuhusiana na hizo pesa wewe ndio ungekuwa suspect number one!!
 
amekuona huna shughuli za maana ndio maana kakuacha kwenye mataa

Anamatatizo makubwa sana huyu, kwani amenitoa kwa ofisi nimemdanganya boss.. Yeye ndio hana shughuli za ratiba ndio maana kaona kawaida kunipotezea muda.
 
Madai yake eti aliona milion 8 ni nyingi akaita escort ya police. eti alipewa ushauri na accountant wa benki.:smile-big:???

ha ha ha ha! Nacheka kama mazuri. Msamehe tu mpenzi. Si unajua tena binadamu tulivyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…