Kaninunia

Jana nilitongoza mke wa jirani hapa tulipopanga leo kanipita bila kusalimia hapa nilipo kichwa kinawaka sijui kamwambia jamaa? Akijua itakua mbaya kwa maana tunaheshimiana sana.
Nyege mbaya sana
vijana msio na akili muwe mnatembea na mafuta mgando muda wote.
 
Jana nilitongoza mke wa jirani hapa tulipopanga leo kanipita bila kusalimia hapa nilipo kichwa kinawaka sijui kamwambia jamaa? Akijua itakua mbaya kwa maana tunaheshimiana sana.
Kwa usalama wako hama mtaa haraka uwezavyo
 
Siku mume wake nae akikutongoza na wewe usinune.
 
Tunaheshimiana mkuu na tunasaidiana katika shida na raha
Hapa inaonekana wwe ndiyo unamsaidia sana jamaa kwenye shida zake,na ndiyo maana unamdharau hadi kufikia kiwango cha kumtongoza mke wake huku ukijuwa kabisa kua huyo ni shemeji yako! Achaa mazarau hata kama sometimes unampiga jamaa tuff,maisha hayatabiriki na kesho yako huijuwi pia, wwe jamaa angemtongoza mke wako ungefurahi!!?? Usilopenda kutendewa usimtendee mwenzio,na hiyo ndiyo kanuni ya haki!!
 
Sawa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…