Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,060
- 11,995
vijana msio na akili muwe mnatembea na mafuta mgando muda wote.Jana nilitongoza mke wa jirani hapa tulipopanga leo kanipita bila kusalimia hapa nilipo kichwa kinawaka sijui kamwambia jamaa? Akijua itakua mbaya kwa maana tunaheshimiana sana.
Nyege mbaya sana