Kaninunia

Msameheni mwanaume mwenzenu noma hiyo!
 
Jana nilitongoza mke wa jirani hapa tulipopanga leo kanipita bila kusalimia hapa nilipo kichwa kinawaka sijui kamwambia jamaa? Akijua itakua mbaya kwa maana tunaheshimiana sana.
Nyege mbaya sana
Nyege, na njaa viongezwe kwenye wale maadui watatu wa ujinga, umasikini na magonjwa.
 
We ni mkosaji mhalifu.
Kama ni mke wa mtu,at least ungemwacha yeye akufuate.
 
Jana nilitongoza mke wa jirani hapa tulipopanga leo kanipita bila kusalimia hapa nilipo kichwa kinawaka sijui kamwambia jamaa? Akijua itakua mbaya kwa maana tunaheshimiana sana.
Nyege mbaya sana
Acha pombe mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…