Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,819
- 9,252
Yeye ndiye anakuheshimu wewe una act kumheshimu ila humweshimu. So acha kutumia neno la kwamba mnaheshimiana wakati umemtongoza mkewe.Jana nilitongoza mke wa jirani hapa tulipopanga leo kanipita bila kusalimia hapa nilipo kichwa kinawaka sijui kamwambia jamaa? Akijua itakua mbaya kwa maana tunaheshimiana sana.
Nyege mbaya sana
Mke wa mtu hata huogopi?. Yakikukuta ya kukuta utamlaumu nani?. Mbona mishangazi na ma single mama yamejaaJana nilitongoza mke wa jirani hapa tulipopanga leo kanipita bila kusalimia hapa nilipo kichwa kinawaka sijui kamwambia jamaa? Akijua itakua mbaya kwa maana tunaheshimiana sana.
Nyege mbaya sana
Aisee sijategemea kabisa kwa jinsi alivyokuwb unanijali
Sawa mkuu ngoja nijipange tenaacha woga wewe kwani akijua anaushaidi kesho mrudie tena uyo mtoto wako
Tunaheshimiana mkuu na tunasaidiana katika shida na rahaYeye ndiye anakuheshimu wewe una act kumheshimu ila humweshimu. So acha kutumia neno la kwamba mnaheshimiana wakati umemtongoza mkewe.
Kweli aiseeTAMAA MBAYA SANA
Labda ntafute ka bastola kakujihamiUjitahidi uwe unatembea mafuta
alie nuna ni jamaa au mke wake ambae unae mmendea?Jana nilitongoza mke wa jirani hapa tulipopanga leo kanipita bila kusalimia hapa nilipo kichwa kinawaka sijui kamwambia jamaa? Akijua itakua mbaya kwa maana tunaheshimiana sana.
Nyege mbaya sana
alie nuna ni jamaa au mke wake ambae unae mmendea?
wanasiasa wengi wanasingizia kutekwa kumbe wamefumaniwa baada ya kumendea wake za watu kama wewe, dah!
tamaa kwa wake za watu ni kitu kibaya sana aise