- Thread starter
- #21
matumizi yako ya neno sheeda ni jibu tosha: unaonekana ni mtu wa "taarabu" kiasi kwamba demu alipokuchomolea ulianza tabia za kuchukua mademu na kujipitisha mbele yake ili aone kuwa kukukataa hajakuathiri kitu na demu keshakusoma lendo ndio maana akikuona anakupa ndita za maana.
Umejuaje kama akikuona na mademu anakasirika? amewahi kutamka neno gani kuashiria hilo? Kama unatazama uso ndugu yangu unapotea "machozi yaanawakilisha furaha na huzuni pia"
Kitu gani kinakufanya u-take trouble ya kumchunguza reaction huyo mdada?...na kwa nini uitafute reaction yake?...WE KUBALIANA NA UKWELI UMEKATALIWA BAAASI...LIFE GOES ON
nasema hivo kwa sababu if kama tukionana basi tunasalimiana poa tu alaf kila mtu amakwenda na zake ila nikiwa na ma bint wengin kama marafik hata nikimuonesh tabasam anageuka upanda na ku pretend kama hajaniona vile wakat yy ndio amenion first kulik mm