Naombeni ushauri wana JF.
Baada ya kumtokea huyu msichana kanikataa nikaona hakuna sheeda ya kung'ang'ania nikampotezea ila cha ajabu akiniona mabinti wengine anakasirika.
Hata kama tunapiga story za kawaida tu yeye anaonyesha kuchukia na hapendi kuona hivyo even though mimi nilikwisha mpotezea yaani sina mahusiano naye.
Nifanyaje