Kaniboa sana, ushauri tafadhali

Kaniboa sana, ushauri tafadhali

Joined
Jul 12, 2017
Posts
10
Reaction score
12
Wakuu,

Nina mgogoro wa nafsi hapa naona bora niwashilikishe kwa mawazo yenu.
Mchumba/kidoshodosho wangu kanikwaza kweli leo.Tulisafiri wote kutoka Mtwara kuja Dar na basi ya Tashrif.

Tulipanga mengi ambayo tutayafanya tukiwa safarini ili kufanya penzi letu liwe mubashara hadi nilishikwa na mchecheto na kumlipia na nauli.

Nilichokishuhudia baada ya kuanza safari ndo kimenileta kwenu wakuu hapa,ile tumetoka hata Mikindani hatujafika kwa wenyeji nahisi mnaelewa, alidondosha usingizi pono anasingiziwa nilimuacha labda nilijua uchovu wa jana na kazi za kwao lakini hadi Lindi hollah hajaamka.

Tulivyofika Kilanjelanje bado anambonjika tu namuamsha anachokisema hakieleweki, tumefika hotelini Starcom-Nangurukuru nimenunua mapochopocho ili nikajichane na mtoto eti kula akagoma anasema akila njiani anatapika daah wakati aliniahidi hadi kunilisha.

Kidume nikafakamia menu ya wawili hadi imeisha yeye ni analala tu hadi nimeshuka Mbagala sijaambulia chochote zaidi ya mimate yake iliyokuwa yamchuruzika alivyolala. Hata stori hatujapiga safari yote daaah, hapa najiuliza kwanini aliniaminisha yote yale? Nidai nauli yangu au nivunje bond kabisa?

Ushauri wenu tafadhali
 
Wakuu nina mgogoro wa nafsi hapa naona bora niwashilikishe kwa mawazo yenu.
Mchumba/kidoshodosho wangu kanikwaza kweli leo.Tulisafiri wote kutoka Mtwara kuja Dar na basi ya tashrif.Tulipanga mengi ambayo tutayafanya tukiwa safarini ili kufanya penzi letu liwe mubashara hadi nilishikwa na mchecheto na kumlipia na nauli.Nilichokishuhudia baada ya kuanza safari ndo kimenileta kwenu wakuu hapa,ile tumetoka hata mikindani hatujafika kwa wenyeji nahisi mnaelewa alidondosha usingizi pono anasingiziwa nilimuacha labda nilijua uchovu wa jana na kazi za kwao lakini hadi lindi hollah hajaamka, tulivyofika kilanjelanje bado anambonjika tu namuamsha anachokisema hakieleweki,tumefika hotelini starcom-Nangurukuru nimenunua mapochopocho ili nikajichane na mtoto et kula akagoma anasema akila njiani anatapika daah wakati aliniahidi hadi kunilisha.Kidume nikafakamia menu ya wawili hadi imeisha yeye ni analala tu hadi nimeshuka mbagala sijaambulia chochote zaidi ya mimate yake iliyokuwa yamchuruzika alivyolala. Hata stori hatujapiga safari yote daaah!!,hapa najiuliza kwanini aliniaminisha yote yale?,nidai nauli yangu au nivunje bond kabisa?.
Ushauri wenu tafadhali

Naona hujakua wewe, bado mtoto!!! Hujui kwamba Mtwara - Dar ni safari ndefu? Watu wakiwa safarini wana hisia tofauti, wengine husinzia, wengine hupenda kuangalia madhari ya nje, wengine hupenda kupinga story nk. Sasa wewe huyo demu wako yeye ni msinziaji.. Ilitakiwa umwelewe hivyo, na mambo mengine uvumilie hadi mtakapofika Dar. Kua kijana...
 
Mmh huyo ni mchumba wako kama unavyotuaminisha au ni dem umekutana nae stendi tu na ulivyo zazwa ukamlipia hadi nauli
 
Wakuu nina mgogoro wa nafsi hapa naona bora niwashilikishe kwa mawazo yenu.
Mchumba/kidoshodosho wangu kanikwaza kweli leo.Tulisafiri wote kutoka Mtwara kuja Dar na basi ya tashrif.Tulipanga mengi ambayo tutayafanya tukiwa safarini ili kufanya penzi letu liwe mubashara hadi nilishikwa na mchecheto na kumlipia na nauli.Nilichokishuhudia baada ya kuanza safari ndo kimenileta kwenu wakuu hapa,ile tumetoka hata mikindani hatujafika kwa wenyeji nahisi mnaelewa alidondosha usingizi pono anasingiziwa nilimuacha labda nilijua uchovu wa jana na kazi za kwao lakini hadi lindi hollah hajaamka, tulivyofika kilanjelanje bado anambonjika tu namuamsha anachokisema hakieleweki,tumefika hotelini starcom-Nangurukuru nimenunua mapochopocho ili nikajichane na mtoto et kula akagoma anasema akila njiani anatapika daah wakati aliniahidi hadi kunilisha.Kidume nikafakamia menu ya wawili hadi imeisha yeye ni analala tu hadi nimeshuka mbagala sijaambulia chochote zaidi ya mimate yake iliyokuwa yamchuruzika alivyolala. Hata stori hatujapiga safari yote daaah!!,hapa najiuliza kwanini aliniaminisha yote yale?,nidai nauli yangu au nivunje bond kabisa?.
Ushauri wenu tafadhali
Ww shida si upewe papuchi Au?
 
Back
Top Bottom