mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Team..hop mpo salama.nina uhusiano na bnt takrban miaka mi3..nimemsoma na kila niktaka kuamua nimuoe roho ikasita,hasa baada ya kumshrkisha Mungu..nikafanikiwa kuanzsha Uhusiano mwngne pemben lakn kbl cjalala nae nikaamua kumpa ukwel bnt kua cpo tyr kuish nae kwa sababu za msingi...bas bnt ndo bif likaanza,akatafuta namba ya bnt mpya,akampa maneno meng sn ya uongo na ukwel...akadai ameamua 2kose wte..bnt mpya nimeongea nae ila ni mpole na anadai hayupo tyr kulumbana au kugombea mme...anampgia kwa cku mara 5 kumkanya bnt mpya anipge chn...nimechanganyikiwa....mi pia cpend maugomv am so down yani...niache wth my lyf if ur here,peacefuly
Unachekesha kweli wewe!Yani wewe ndo unaewachanganya alafu unamsingizia dada wa watu 'amekuharibia'? Ulishindwa nini kumuacha kabla yakutafuta mwingine?Acha uhuni kijana ngoma inaua.
Hakuna cha ajabu sn au jipya...km umenielewa vzur ckua nimeanza mapenz na msichana wa pili..na am very systematic kwny maamuz yangu.nimemuacha kihalal na mctake kunihuku.cha mcng apa why hatak kukubal stuation kwmb simuhtaji..na aheshmu uhusiano wngu mpya.cmpo.by tha way She is nt yf material enaf kwangu.
nalog out kidogo. nikilejea naomba huyu mkonowasungura awe umeshamwelewesha makosa yake adhawaizi skutoi dinner jumamosi hii.Maana ya KUANZISHA MAHUSIANO MENGINE PEMBENI ni nini?!Au sio wewe uliyeandika hayo maneno?
nalog out kidogo. nikilejea naomba huyu mkonowasungura awe umeshamwelewesha makosa yake adhawaizi skutoi dinner jumamosi hii.
Team..hop mpo salama.nina uhusiano na bnt takrban miaka mi3..nimemsoma na kila niktaka kuamua nimuoe roho ikasita,hasa baada ya kumshrkisha Mungu..nikafanikiwa kuanzsha Uhusiano mwngne pemben lakn kbl cjalala nae nikaamua kumpa ukwel bnt kua cpo tyr kuish nae kwa sababu za msingi...bas bnt ndo bif likaanza,akatafuta namba ya bnt mpya,akampa maneno meng sn ya uongo na ukwel...akadai ameamua 2kose wte..bnt mpya nimeongea nae ila ni mpole na anadai hayupo tyr kulumbana au kugombea mme...anampgia kwa cku mara 5 kumkanya bnt mpya anipge chn...nimechanganyikiwa....mi pia cpend maugomv am so down yani...niache wth my lyf if ur here,peacefuly
Unachekesha kweli wewe!Yani wewe ndo unaewachanganya alafu unamsingizia dada wa watu 'amekuharibia'? Ulishindwa nini kumuacha kabla yakutafuta mwingine?Acha uhuni kijana ngoma inaua.
Mnanchakachulia thread....tatzo mkiambiwa ukwel mnajifanya wajuaaji...hamuna lolote.hbr ndio hyo apo juu km vp mripit again kusoma...nasubr ushaur mwenzenyu....kwan dhamb lakn?m2 hayupo kuolewa,na mkirejea post zangu nilishamlipua apa mkasema niachane nae...kuacha ni styl,.tn nimemueshm sn.
Lizzy,
Usilale njoo tule Kitimoto
Tuwe tunaogopa kumtaja bure Mungu jamani,so ulivo mshirikisha ndo alikushauri utafute msichana wa pembeni?
Kama maelezo yako tu yanakushinda kuelewa ushauri ndo utaweza?Sidhani!Mnanchakachulia thread....tatzo mkiambiwa ukwel mnajifanya wajuaaji...hamuna lolote.hbr ndio hyo apo juu km vp mripit again kusoma...nasubr ushaur mwenzenyu....kwan dhamb lakn?m2 hayupo kuolewa,na mkirejea post zangu nilishamlipua apa mkasema niachane nae...kuacha ni styl,.tn nimemueshm sn.
Mbona unanichokoza wewe?Nna njaa ya kufa mtu alafu hata harufu ya hiyo kitu sijasikia tangu ipande bei.
Mi naona ww ndo hutak kuelewaNimesema hv baada ya kuona kua mwanamke nilie nae hawez kua mke wangu(kwa vgezo vyangu vya upole na ucha mungu)...niliamua nianze kujitoa mpm.on tha proces nikawa rafk na bint mwngne bla tendo la ndoa(ili uelewe)..nilimpa situatn yangu na imediately yule wa zaman nilimpa laiv...na had sasa bdo ata cjala tunda jpya,m nt afta ngonoby tha way.NATAFUTA MKE!