Kangi Lugola yupo?

Kangi Lugola yupo?

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,054
Reaction score
3,263
Baada ya Uteuzi wake Waziri wetu wa Mambo ya Ndani tulikuwa tukimuona kila wakati kwenye media akija na matukio, maelekezo na amri mbalimbali.

For a while sasa kumekuwa na ukimya kutoka kwake, hii si kawaida yake, wacha niwaulizee Wakuu wa jamvi alipo Mkuu wetu huyu wa mambo ya ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Uteuzi wake Waziri wetu wa Mambo ya ndani tulikua tukimuona kila wakati kwmye Media akija na matukio, na malekezo na Amri mbali mbali.
For a while sasa kumekua na ukimya kutoka kwake,hii si kawaida yake , wacha niwaulizee wakuu wa Jamvi Alipo Mkuu wetu huyu wa mambo ya ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
yupo, anatunga sheria
 
Juzi tu hapa kaunguruma kinyama na kuwasweka ndani Nida na wazabuni wao wa sakata la vitambulisho wakiwa kikaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo huku
IMG-20180825-WA0032.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikuvuma sana.... Ikavuma sana.... vuu vuu vuuuuh
 
Baada ya Uteuzi wake Waziri wetu wa Mambo ya ndani tulikua tukimuona kila wakati kwmye Media akija na matukio, na malekezo na Amri mbali mbali.
For a while sasa kumekua na ukimya kutoka kwake,hii si kawaida yake , wacha niwaulizee wakuu wa Jamvi Alipo Mkuu wetu huyu wa mambo ya ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemwona kama dk kumi hazijapita anakata mauno, rumba imenogs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom