Kangi Lugola unalijua hili!?

Kangi Lugola unalijua hili!?

marxlups kwahiyo wewe unajipa matumaini kabisa kuwa rushwa itatoweka Africa "_?
 
Yes likitokea janga.
Lakini utashangaa siku 1 na wewe ukatamani ukae hapo au usimame kwenye bus ili tu usafiri muda huo.


Kutokana na mambo ya nchi yetu kutotabirika siwezi na Mungu anisaidie niendelee kutoweza
 
Back
Top Bottom