Kangi Lugola, mzalendo pekee ndani ya CCM

Kangi Lugola, mzalendo pekee ndani ya CCM

Nilimtoa thaman toka akutwe na tuhuma za rushwa
Hilo ndo Tatizo letu..
Kwa nini Kama ni kweli hakufungwa?
Angalieni alichosema juu ya uchafu wa ccm, ni wabunge wangapi wa ccm wanathubutu kusema anayosema Lugola?
 
Hilo ndo Tatizo letu..
Kwa nini Kama ni kweli hakufungwa?
Angalieni alichosema juu ya uchafu wa ccm, ni wabunge wangapi wa ccm wanathubutu kusema anayosema Lugola?
Yupi WA ccm aliyewahi kufungwa kwa tuhuma kama zake

Kangi hana sifa za kuaminiwa tena
 
Na Kama ni mkosaji Kwa nini hakufungwa?
We sio bure, utakuwa umejaza "taka mwili" kwenye kichwa. Unajua kesi iliishaje na hukumu yake ilikuaje?
Au najua kila kesi ni kufungwa tu?
 
Hana lolote mla rushwa tu huyo bila huruma ya ccm si alikuwa aende na maji kisutu pale baada ya kuomba rushwa kwa mkurugenzi
 
Back
Top Bottom