Kangi Lugola, mzalendo pekee ndani ya CCM

Kangi Lugola, mzalendo pekee ndani ya CCM

Mzalendo? muulize ile kesi ya Kisutu ilikuwa ya nini?
Au ni UZALENDO upi unaomaanisha wewe.?
 
Nadhani pamoja na yote anapaswa kupongezwa. Ni wachache mno ndani ya ccm wanaothubutu kuongea
 
....
....mnafiki tu huyo Mzalendo ni Lowassa
Mkuu, Lowassa ni role model wangu Sana tu... mimi nasemea Kwa ccm... yeye ni joka lisilo na sumu, tofauti na majoka mengine yanayoua on the spot yakikugonga.
 
Unafiki mtupu.

Adanganye wiseboy na nduguze
Mimi nimeweka ushahidi wa uzalendo wake, ni vyema na wewe ukaweka ushahidi wa unafiki wake, otherwise una chuki naye binafsi.
Leo hii ukiniuliza ni Kwa nini siipendi serikali hii? nitakufafanulia Kwa kina hadi utaridhika.
Maneno matupu bila hoja ni kazi bure.
 
50 yrs huo uzalendo wao nimeshauona sana mazee.
Wewe endelea nao tu, SI mimi.
 
Nani mzalendo unayemsema hapa! Kangi Lugola hana hiyo sifa acheni unafiki na huyo fisadi wenu.
 
Jamani huo ndo ukweli mi mwenyewe mwana people ila kanga namkubali sana na bashe naye anakuja hawana unafiki Wa kimaviccm
 
Jamani huo ndo ukweli mi mwenyewe mwana people ila kanga namkubali sana na bashe naye anakuja hawana unafiki Wa kimaviccm
Unajua mkuu watu wana hasira Sana na ccm kiasi kwamba kila mmoja wanamwona nuksi tu.
 
Nilimtoa thaman toka akutwe na tuhuma za rushwa
 
Na Kama ni mkosaji Kwa nini hakufungwa?
Nani alishawahi kufungwa hata yeye awe wa Kwanza sema mbona hakupewa adhabu ya kudeki

Jibu hao ni wanachama wa chama kitukufu chini ya mwenyekiti malaika
 
Back
Top Bottom