Kangi Lugola kujiunga CHADEMA?

Kangi Lugola kujiunga CHADEMA?

huko Mwibara chadema haipo? Hili jimbo lilikuwa la Mutungerehi nae akajichanganya akaenda TLP, yaani tabu tupu.

Mutamwega mugaya ndio alikuwa mbunge wa mwibara kabla ya Lugola!
Sio Mtungirehi
 
huko Mwibara chadema haipo? Hili jimbo lilikuwa la Mutungerehi nae akajichanganya akaenda TLP, yaani tabu tupu.

Kumbe hata JF wapo wababaishaji?!
Mutungirehi wapi na wapi na jimbo la Mwibara?
Mutungirehi kwake Kyerwa baba
 
Ndugu, niweke habari hii kwa uhakika. Ukweli ni kuwa Jimbo la MWIBARA siko aliko kuwa Mutungirehi. Mwibara iko MARA. Ukweli ni kuwa Jimbo hili liko Wilaya ya Butiama, kwa Nyrere. Mutungirehi alikuwa Mbunge wa KYERWA. Iko Mkoa wa Kagera. Sasa ni Wilaya, lakini wakati wa Benedikto, Kyerwa lilkuwa Jimbo katika Wilaya ya Karagwe.

Mwibara iko Butiama?. Badala ya kumsahihisha, we ndo umeharibu zaidi. Get fact before correction.
 
Mutamwega mugaya ndio alikuwa mbunge wa mwibara kabla ya Lugola!
Sio Mtungirehi

Kabla ya Lugola alikuwa Kajege, kabla ya Kajege alikuwa Mutamwega Mugaywa, kabla ya Mtamwega jimbo lilikuwa Bunda kwa Wasira (kabla ya kugawanywa 1995).
 
Kabla ya Lugola alikuwa Kajege, kabla ya Kajege alikuwa Mutamwega Mugaywa, kabla ya Mtamwega jimbo lilikuwa Bunda kwa Wasira (kabla ya kugawanywa 1995).

Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa!
 
Ccm ilikuwa ikiakilisha wananchi na wabunge wasiozidi kumi. Ester bulaya, kangi lugora, James lembeli, luhaga mpina, , deo filikunjombeo, ole sendeka, Kingwangala, nk. Wakiondoka hao ccm linabki kabila moja tu (mafisadi)

Naaam umemsahau kessy sema nae popo kidogo
 
Pitia vizuri kumbukumbu zako,Mwibara ilikuwa chini ya TLP kwa Mhe. Mutamwega Mugahywa.
Mutungirehi alikuwa mbunge wa TLP pia jimbo la Kyerwa mkoani Kagera,siku nyingine kama huna uhakika uliza utaelezwa bila tatizo kuepuka kupotosha,tupo hapa kuelimishana,wewe unajua hiki na mimi najua kile basi tuelimishane.

Naomba nikili mm pia siku zote nmekuwa nikichanganya kati hao watu wawili miaka ya 90s nilipata bahati kifahamiana na mutamwega alikuwa ni kijana niliyemkubali na baada ya kupoteana nae na kutopata habari zake imetokea mara zote niposoma habari za mutungirehi uwa najichanganya mutamwega mugahywa!hivyo nashuruku kuniondoa huu utata.sio mbaya ukitujulisha iwapo una taarifa zake.SHUKRAN SANA
 
Mutamwega aliacha shughuli za siasa baada ya kugombea Uraisi kwa tiketi ya TLP na kushindwa 2010. Kwa sasa anaendesha anasimamia Kampuni yake inayojihusisha na mambo ya vitabu, kumbuka pia amewahi kutunga vitabu kadhaa vya Civics na General study na viliingizwa kwenye mtaala wa Serikali kabla hata ya akina Nyangwine.
 
kinachonikwaza ni kwamba wanaojiunga au kutajwa kujiunga ni wale ambao wamepima upepo na kuona either hawakubaliki na chama au wapiga kura. yaani makapi hakuna pure grain hata mmoja. feel sad to cdm

we tulia tupo wakati wa usajili hatuchui wachezaji makapi ss tunachua wanao anza
 
huu ndo wakati mzuri wa ccm kuiteka chadema nzimanzima.
tuma makada 150 wahamie chadema na watapewa nafasi ya kugombea ubunge na wakipita wanakuwa wamo kwa maslahi ya ccm.

inaitwa infiltration

kwenu choo kina mlango? nataka kupita
 
Anae sema mtungerei hajui wabunge walio iongoza mwibara bora akae kimia au atuulize cc wanamwibara. Hugo MTU hatumjui zaid y mtamwega. Kang VP!? Bado yuko cccm!?
 
wakuu kwa anayejua.je kangi lugola amechukua fomu ya ubunge kupitia ccm?
 
kinachonikwaza ni kwamba wanaojiunga au kutajwa kujiunga ni wale ambao wamepima upepo na kuona either hawakubaliki na chama au wapiga kura. yaani makapi hakuna pure grain hata mmoja. feel sad to cdm

Wewe siasa umejifunzia jikoni huku ukimpikia dada yetu!? Kagi Lugola ni kapi kivipi?
 
Back
Top Bottom