Kangi Lugola kujiunga CHADEMA?

Kangi Lugola kujiunga CHADEMA?

kinachonikwaza ni kwamba wanaojiunga au kutajwa kujiunga ni wale ambao wamepima upepo na kuona either hawakubaliki na chama au wapiga kura. yaani makapi hakuna pure grain hata mmoja. feel sad to cdm

Hivi kama hukubaliki kwa wapiga kura, ukihama ndiyo utakubalika!!?
 
Lembeli ,Lugola ! hebu kuwa mkweli mkuu
kinachonikwaza ni kwamba wanaojiunga au kutajwa kujiunga ni wale ambao wamepima upepo na kuona either hawakubaliki na chama au wapiga kura. yaani makapi hakuna pure grain hata mmoja. feel sad to cdm
 
Una uhakika na ulichoandika lakini...??
Esther Bulaya hakubaliki Bunda..?? na James Lembeli hakubaliki Kahama..??
Usitumie za kuambiwa tu, changanya na zako japo unazo kidogo.

nimesema either hawakubaliki chamani or na wapiga kura. sikusema both. jiongeze
 
kinachonikwaza ni kwamba wanaojiunga au kutajwa kujiunga ni wale ambao wamepima upepo na kuona either hawakubaliki na chama au wapiga kura. yaani makapi hakuna pure grain hata mmoja. feel sad to cdm
Ni kweli mkuu, wengi wao ni wale waliosema ukweli wa wa dhambi za ccm, ambao wameshindwa kuendelea kuvumilia unyama unofanywa na ccm dhidi ya Watanzania masikini. Kwahyo ccm na wanachama wakawachoka sababu bado hawapo tayari kujirekebisha
 
kinachonikwaza ni kwamba wanaojiunga au kutajwa kujiunga ni wale ambao wamepima upepo na kuona either hawakubaliki na chama au wapiga kura. yaani makapi hakuna pure grain hata mmoja. feel sad to cdm
Mnamwona kapi baada ya kuwatosa..
 
Pitia vizuri kumbukumbu zako,Mwibara ilikuwa chini ya TLP kwa Mhe. Mutamwega Mugahywa.
Mutungirehi alikuwa mbunge wa TLP pia jimbo la Kyerwa mkoani Kagera,siku nyingine kama huna uhakika uliza utaelezwa bila tatizo kuepuka kupotosha,tupo hapa kuelimishana,wewe unajua hiki na mimi najua kile basi tuelimishane.

Hiyo GT ukweli na uhakika
 
huu ndo wakati mzuri wa ccm kuiteka chadema nzimanzima.
tuma makada 150 wahamie chadema na watapewa nafasi ya kugombea ubunge na wakipita wanakuwa wamo kwa maslahi ya ccm.

inaitwa infiltration

Cdm siyo kama chama cha mafisi,intelejensia ya cdm ni hai
 
kinachonikwaza ni kwamba wanaojiunga au kutajwa kujiunga ni wale ambao wamepima upepo na kuona either hawakubaliki na chama au wapiga kura. yaani makapi hakuna pure grain hata mmoja. feel sad to cdm

Leo kangi lugola unamuona makapi kwa sababu alikuwa ni mkosoaji mkubwa wa ccm?amakweli ccm hamna jema
 
Back
Top Bottom