Kangi Lugola: Christopher Shekiondo awajibishwe

Kangi Lugola: Christopher Shekiondo awajibishwe

Kangi Lugola Mbunge wa Ukweli. Tusemee mkuu, wamezidi kutuharibia watoto huku wao wakila kuku.
 
Ametaja idara zote zinazohusika lakini ameisahau moja nayo ni I-K-U-L-U,
yawezekana hii ndio inayoongoza.
 
Kangi Lugola Mbunge wa Ukweli. Tusemee mkuu, wamezidi kutuharibia watoto huku wao wakila kuku.
Jk ndio tatizo!Maamuzi yote yako kwakwe na hayuko seriuos!

Hii awamu ni laana kwa watanzania!
 
Back
Top Bottom