Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,484
- 145,818
Hivi, kwa kilichotokea leo kwenye kesi ya Lissu, hiyo mahakama nikiita ni kangaroo court nitakuwa nimekosea?
Hutakuwa umekosea, inasikitisha sanaHivi, kwa kilichotokea leo kwenye kesi ya Lissu, hiyo mahakama nikiita ni kangaroo court nitakuwa nimekosea?
🖕🖕Ondoa Ujinga Wako hapa wewe
Kama una hasira sana na uchungu naye basi nenda ukafungwe naye gerezani. Taifa lina amani na limefurahi kabisaa
Senge wewe.Kama una hasira sana na uchungu naye basi nenda ukafungwe naye gerezani. Taifa lina amani na limefurahi kabisaa
Wewe wanakubokoa wenzio, sio bure.Kama una hasira sana na uchungu naye basi nenda ukafungwe naye gerezani. Taifa lina amani na limefurahi kabisaa
Ondoa Ujinga Wako hapa wewe
Kama una hasira sana na uchungu naye basi nenda ukafungwe naye gerezani. Taifa lina amani na limefurahi kabisaa
She is so dumb.Kilichodhihirika leo ni ukilaza wa mtawala wa nchi.
She is so stupid kiasi cha hata upumbavu wenyewe unamkana.
Check na trumpHivi, kwa kilichotokea leo kwenye kesi ya Lissu, hiyo mahakama nikiita ni kangaroo court nitakuwa nimekosea?
Mtawala wa nchi alikua jaji, wakili au Mwendesha mashitaka?Kilichodhihirika leo ni ukilaza wa mtawala wa nchi.
She is so stupid kiasi cha hata upumbavu wenyewe unamkana.
We tako naona bado unawashwaShe is so dumb.
We mpuuzi usutafutie watu banOndoa Ujinga Wako hapa wewe