Kanga moko,iko wapi heshima ya mwanamke? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanga moko,iko wapi heshima ya mwanamke?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kipilipili, Jun 19, 2011.

 1. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,202
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Taarab ya leo(post modern taarab) inamchora mwanamke katika nafasi hasi kuanzia"content",uchezaji,uimbaji, mavazi hadi matangazo. mwanamke anachorwa(potrayed)km malaya,anaegombania wanaume,anae vaa nusu uchi na kucheza kusiko na nidhamu.mbaya zaidi vyombo vya habari ndio vimeshika kidedea."NJOO UONE KANGA MOKO"hayo ndo matangazo.Je tunaiweka wapi thamani na heshima ya mwanamke?je tunawafunza nini mabinti zetu?je tunatengeneza kweli wanafamilia wema wa baadae?je vp kuhusu kuhamasisha ngono kunakopelekea kuenea kwa ukimwi?GEA HABIB na kundi lako mnatuharibia kizazi chema cha watanzania.muogopeni mungu,acheni tamaa ya pesa ya dunia.
   
 2. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Weka na picha ili mjada ukole ndugu!!!!
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ndembe ndembe! Laki si pesa! Kitu Tigo, K kwa mkeo!
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,005
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Kitu t,
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kweli wanawake wanadhalilishwa/wanajidhalilisha..
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  dAH! hapo sielewi kitu. Ati Tigo, K Kwa mkeo?
  WALAH TWAFA, TWAAFA!
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Mwenye nyimbo za Issa Matona, Bi Shakira na the like tuwasiliane kwa amoebazone@gmail.com: Hizi taarabu za wavuta bange ndani kwangu STOP!
   
 8. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,202
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Bahati mbaya natumia simu ya mtoto wa mvuvi,cna pcha.ila tunaweza kujadili zahma lile!duh!hakiyanani dada kavaa kanga 1 ndani haina kitu halafu imemwagiwa maji!toba!km c kujidhalilisha na kudhalilishwa ni nini?
   
Loading...