Kandoro atinga Mwanza kwa Mkwara!

Kandoro atinga Mwanza kwa Mkwara!

Mongoiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
524
Reaction score
271
Nasoma gazeti la Matukio daima la kanda ya ziwa, ambalo lina habari ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Kandoro ameingia Mwanza kwa kutoa Onyo kwa watendaji wazembe na kusema ole wao wanaopika taarifa atakula nao sahani moja na kuwakumbusha watumishi wa umma kuwa wapo kwa ajili ya wananchi.
Kwa upande wa mkuu aliyeondoka Dk. Msekela ambaye amehamia Dodoma yeye ameondoka huku akiomba radhi kwa yoyote alimkosea katika utendaji wake.
Kazi kwa kandoro sasa ndiyo ameshakabidhiwa Mkoa, atafuta Nyayo za Njoolay ambaye alikubalika kwa utendaji kazi wake mkoani hapa kuasi cha watu kuomba arejeshwe?
 
Back
Top Bottom