Kanda maalum ya ushirikina

sijauliza anaetoa hukumu bali hilo dhara baina ya roho na mwili unalizungumziaje wkt umesema roho na mwili haviwezi kujidhuru
Nina mada kwenye hilo nitakutag ina ufafanuzi mpana ngoja niitafute
 
Inategemea na uzito na level ya uchawi japo bhangi mara nyingi haipatani na uchawi na uchawi nao haupatani na bhangi
Kwa kifupi mlevi yoyoyte hawezi kuwa mchawi, atafichua siri, japo anaweza kuwa mnywaji wa kawaida sio kulewa chakari
 
Mshana Jr, mbona huwa unapenda sana kuzungumza mambo ya ushirikina? Angalia sana usije kuwa unashiriki ukaishia kupata matatizo ya Afya ya Akili.
 
Mshana Jr, mbona huwa unapenda sana kuzungumza mambo ya ushirikina? Angalia sana usije kuwa unashiriki ukaishia kupata matatizo ya Afya ya Akili.
Usijali najifahamu najitambua najua nini nafanya
 
Hahahaah kweli Dar fisi hawezi kufugwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…