R RESILIENT KATO JF-Expert Member Joined Aug 21, 2024 Posts 4,206 Reaction score 8,153 Nov 27, 2025 #61 Eagle Trader said: Fafanua mkuu Click to expand... Anamaanisha eti wahuni wajaindae kudaka viazi wapike kachori yaani!
Eagle Trader said: Fafanua mkuu Click to expand... Anamaanisha eti wahuni wajaindae kudaka viazi wapike kachori yaani!
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 40,907 Reaction score 98,110 Nov 27, 2025 #62 Hivi alisema show itaanzia masaki au wapi? Waungwana em tukumbushane basi
Eagle Trader JF-Expert Member Joined Jun 26, 2025 Posts 637 Reaction score 732 Nov 27, 2025 #63 RESILIENT KATO said: Anamaanisha eti wahuni wajaindae kudaka viazi wapike kachori yaani! Click to expand... Hiyo itakuwaaa safiiiiii
RESILIENT KATO said: Anamaanisha eti wahuni wajaindae kudaka viazi wapike kachori yaani! Click to expand... Hiyo itakuwaaa safiiiiii
Dooba Member Joined Jul 14, 2024 Posts 9 Reaction score 12 Nov 27, 2025 #65 CHIEF PRIEST said: Huyu naye hana lolote mtu wa kufanya kweli hana tantalila nyingi kama kweli analo la kufanya sasa hivi nyumbani kwa Mafwele na Wambura kungekuwa kumefungwa turubai wauaji wenzao wanaomboleza. Click to expand... Kila kitu kinaenda kwa mipango, we unahisi kila jambo ni la kukurupuka tu.
CHIEF PRIEST said: Huyu naye hana lolote mtu wa kufanya kweli hana tantalila nyingi kama kweli analo la kufanya sasa hivi nyumbani kwa Mafwele na Wambura kungekuwa kumefungwa turubai wauaji wenzao wanaomboleza. Click to expand... Kila kitu kinaenda kwa mipango, we unahisi kila jambo ni la kukurupuka tu.
K Kodo dyako JF-Expert Member Joined Nov 18, 2025 Posts 318 Reaction score 409 Nov 27, 2025 #66 PAtamuuu hapo....lakini uyo kaka ake ni kama chai jaba...kila kitu anaongea tu