PostGE2025 Kanali Augustino Polepole asipuuzwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nendeni youtube muangalie uasi unavyokuwa kwa kuangalia Liberia kama mfano.

Inafika wakati watoto wadogo wanaona fahari kucheza na silaha na kuua.
 
Nendeni youtube muangalie uasi unavyokuwa kwa kuangalia Liberia kama mfano.

Inafika wakati watoto wadogo wanaona fahari kucheza na silaha na kuua.
Ipi sasa ni njia salama ya kuiendea kwa majira yajayo mkuu?
 
Hivyo binafsi nashawishika kusema, kile chakula cha moto na damu kilichokua kinapikwa nyuma ya pazia ni wazi kimeiva. And very soon kinaenda kupakuliwa na mpishi kiongozi Kanali Augustino Polepole..
Kesho naona nitaamka vizuri sana kuliko siku zote..
 
Kila uzi naosoma unanitisha sina hata imani ya kutembea tembea huko mtaani guys acheni hizo basi 🥹
Kuanzia kesho 28 Nov kuelekea 9 Dec kaa kwa kutulia maana kimeanza kunuka mapema watu wanataka mpaka inafika Dec 9 nyumba ishafagiliwa na takataka zote zimeshaondolewa kilele cha fagiafagia kiwe Dec 9 ndio funga kazi..
 
Kama kanali hakuweza ku sense danger Hadi brother anachuiuliwa kama kuku wa mdondo it's a shame kwake kutoa vitisho!

Siasa ilipewa mapato makubwa sana kuliko uhalisia wa kazi wanazofanya katioa jamii!!

Niamini deep state!?au Red cross!!?

Nini tena!!?

Au nchi za Africa hazina deep state!!?

Aiseh
 
Nchi inahitaji walipiza kisasi wengi zaidi kama Hamza.
 
Hiv mnajuwa zile drones zinazotumika na ukraine kushusha viazi moto kwa majeshi ya Urusi
 
Hakuna kanali mwenye muda wa kuongea ongea hovyo mitandaoni kama Content creator. Mjeshi huwa anatoa kauli moja halafu kinachofuata ni matendo.

Mnakumbuka bwana Mkunda alitoa kauli moja ya kuita waandamanaji wahalifu, kilichofuata baada ya ile kauli ni mauaji ya halaiki mfululizo.
 
Kila uzi naosoma unanitisha sina hata imani ya kutembea tembea huko mtaani guys acheni hizo basi 🥹
malcolm lumumba alisema kila upande mpaka upate madhara ndio maridhiano yatawezekana. Nilimwelewa sana.
Kwa hiyo usiogope. Kila jambo lina pande mbili. Hasi na chanya. A
 
Kesho kuanzia saa 3 majira ya asubuhi masaa 24 yatakua yamekwisha..
 
Subiri kukuche ndio uongee.. wenzio walianza kuwatukana waandamanaji October 29 saa 2 asubuhi wakasema kikowapi qumanyoko saa 3 na nusu watu hawa hapa kuna mwandishi mmoja anasema hata hajui watu walipotokea aliona tu watu wanakuja km mvua au kimbunga na kuanza kufanya yao.. utulie muda sio rafiki atakufunza mambo mengi.. zingatia hilo muda sio rafiki wa mwanadamu
 
Nipo nacheki ottoman hapa!anakinukisha kinoma noma ,nadhani kanali atakinukisha hivi hivi au!!?
Kanali kasema anakula vichwa km bodaboda.. ataanza na samuya kisha ataruka na Ritz kabla hajamfuata BRN T halafu Jumanne kisha anaenda kumalizana na Faustine bila kumsahau dogo Dulli.. nadhani mpaka muda huu watakua washamfikisha HP kwa mama yake Segerea ili yasije yakawakuta makuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…