Kamwe usimwamini mwanamke!.

Teyar mkuu keshafanya yake
inaonekana uliingia miguu yote wenzio tunaingia miguu yote mdomoni moyoni kuko giza totolo hakuna upendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata vitabu vya dini vinatuambia kwamba mwanamke ni kiumbe dhaifu, naanzaje kumwamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakuonya Mwanamke si kiumbe dhaifu hata siku moja, wewe mdharau uone unakufa maskini, hivi Delila na Samson, Bill Clinton na Monica, Father Abraham na ***** Ishmail. usisahau Adam baba lao, alivofanyiwa na Eve, unawajua huwajuia?

Leo tunapigika sababu ya Mwanamke, tungekuwa tunakula, kunywa, nauri, kulala Bure,

usiwachukulie poa hao viumbe ukitaka kufaidi hapa uwe mjinga mjanja! ona km huoni vile! vitabu vya Dini hivyo ni vya mapokeo tu, soma original, uone mambo!

Usimwamini Binadamu yeyote hata baba yako mzazi, ila wapende wote!
 
Kwaio nyie ndio muaminiwe eti....

am better here
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…