Kamwe usimwamini mwanamke!.

Unazani na wao huwaamini wanaume % zote no ni mguu 1 ndani mwingine nje utakisikia wanaume wote baba yao mmoja usimwamini ukajisahau

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kipochi manyoya mkuu! Network zikihamia kwa Dulla kichwa waz tunajisahau sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hawajashurutisha kuoa kwenye maandiko,ila funguka mkuu mbona.....
 
Katika mambo uliyochelewa kuyajua tena ya muhimu ni hili...akisema nakupenda tabasamu kisha tizama kushoto na kulia isijeikawa kuna mtu kawasikia ikawa aibu siku akishit
 
Leta episode mzee baba picha ndio linaanza tueleze yaliyokukuta
 
Kuna jamaa kambaka mtoto wake wa kumzaa, mweny umri wa miak mi 3 tuu!!!!!
 
Hakuna mwenye kuhudumiwa akaishia kutoa mimba yako au kutupa kichanga chako.Yawezekana una hoja ya msingi ila kwa namna ulivyoandika sidhani km kuna ambaye atakuelewa.!!
Kuna wakat mwingine hata mama mzazi unaweza usimuamini pia.
 
Hakuna shida tumekuelewa mkuu. Ila tafuta elimu ya mahusiano sawa acha kukurupuka. Unapswa kusoma alama za nyakati. Sio kila kitu unapanua domo kisa mke wangu au mpenzi wa moyoni.

Utaangamia vibaya mno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…