Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
Nakubusu njoo huku 😜😎☺️🏃🏃🏃🏃Sio busara kumkabili mchepuko wa mume wako. Usithubutu kufanya hili kosa.
Nasisitiza kwa ukali kabisa sio busara kumkabili mchepuko wa mumeo.
Nina sababu zangu mbili za kukushauri hivyo.....
1. Ikiwa mume wako ana tabia ya kuchepuka, hawezi kuridhika na mwanamke huyo mmoja - ataendelea kurukaruka kutoka kwa mwanamke mmoja hadi mwingine. Hebu jiulize utaweza kukabili wanawake wangapi? Tunza jibu lako.
2. Huna biashara ya kumdhibiti mchepuko wa mumeo - wewe sio chuo chake cha maadili. Huyo mchepuko wa mumeo huyo hawezi kukuahidi kuwa atakuwa mwanamke mzuri kwa mumeo. Wala huna uwezo wa kumgeuza huyo mchepuko awe mtakatifu kwa mumeo.
Tambua mara moja kuwa kosa lipo kwa mume wako ambaye amevunja ahadi ya kuwa na wewe tu.
Ongea na mumeo kwa heshima licha ya hisia zako zenye kuumiza. Huwezi kuushinda ubaya kwa ubaya.
Kupigana na mchepuko wa mumeo ni kujidharirisha tu.
Ikiwa nyote wawili mko tayari kufanyia kazi ndoa yenu, basi ndoa yenu linaweza kusalimika.
Simama katika malengo yako ya ndoa na jinsi utakavyoyatimiza. Unaweza kuchagua kuendelea na mumeo ama kuachana naye
Hii inaweza kuhitaji mwongozo kutoka kwa mkufunzi wa ndoa yenu.
Ubarikiwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata hujistukii mwenyeweee???Upo vizuri sana me nina chepuka na dada wa kazi wangu plus anakijiti hadi raha
si ajabu ni wewe ulimshauri aweke kijiti,,Upo vizuri sana me nina chepuka na dada wa kazi wangu plus anakijiti hadi raha
Unagonga bila stress kbs hahahaha.Upo vizuri sana me nina chepuka na dada wa kazi wangu plus anakijiti hadi raha