Kamwe USIJARIBU kusoma CHUO CHA KAMPALA DAR

Mben

Member
Aug 18, 2018
22
16
Tangu kilipoanzishwa tu kimekua na changamoto nyingi zikiwepo usajili na kutofata utaratibu wa Tanzania.
Kwa waliomaliza 2013 rudi nyuma hawatoi transcript.
Baadhi ya couruse zao hazitambuliki nacte au Tcu, ushahidi nnao.
Kuna watu wana transcript za uganda ambazo zina masomo hawakuwahi kusoma kabisa.
Imefikia mahali mpaka kinatolewa mfano na Mkuu kati ya vyuo vya vilaza.
 
Hikii chuo Magu ametoka kusema ni chuo cha vilaza hakifai hata kidogo na hawez kuajir graduator wa pale hata kwa bunduki
Sasa kama hakifai kwa nini kisifutwe maana kuna watoto wa masikini wanasoma pale na wanalipa pesa kama ada,lakin pia kuna wanafunz wanapata mkopo kutoka bodi ya mkopo..sijaelewa kwa nini kisifutwe na wanafunz waamishiwe vyuo vyenye sifa
 
Kabisa ...hii serikali yetu ni ya kimaandazi kweli yaan
 
Sasa chuo ni kibovu na kipo chini ya uongozi wa serikali kwa nini kisifunge wanafunzi wajue watafanya nini??!!!

Au KIU kipo juu ya sheria..maana naona ni kama wanaoathirika zaidi hapo ni wanafunzi wanaotumia gharama kusoma
 
Tangu kilipoanzishwa tu kimekua na changamoto nyingi zikiwepo usajili na kutofata utaratibu wa Tanzania.
Kwa waliomaliza 2013 rudi nyuma hawatoi transcript.
Baadhi ya couruse zao hazitambuliki nacte au Tcu, ushahidi nnao.
Kuna watu wana transcript za uganda ambazo zina masomo hawakuwahi kusoma kabisa.
Imefikia mahali mpaka kinatolewa mfano na Mkuu kati ya vyuo vya vilaza.
KWANI SI KIMESAJILIWA NA TCU???
 
Tatizo watu WA humu mnasubiria mtafuniwe kila kitu hata issues za Kampala international university hamzijui
Ndalichako na Magu si walifanya uhakiki wa vyuo vyote vikuu na visvyokidhi vigezo ama vilifungwa au baadhi ya kozi zilifutwa.

Sasa mwenzetu unayejua sana tujuze hao wahakiki hawakufika huko Kampala au vipi tena.
 
Sasa Kampala kinasajili watu au unabwabwaja?

Mmmm pengine hujanielewa au umekwepa swali.

Nazungumzia uhakiki, tuanzie hapo. Wakisema huko hawakufika kwenye kuhakiki nitawaelewa, lakini nilivyowaelewa kuwa wamehakiki vyuo vikuu vyote. Miaka mitatu imepita sijui wamechukua hatua gani? Maana hata UDOM ilifungiwa kusajili baadhi ya kozi kama udaktari mpaka walipokidhi vikwazo. Sasa KAMPALA ilikuwaje? Shukran.
 
Juzi vyuo kibao vimefungwa wanafunzi wanahamishwa lkn sijasikia Kampala kama wanahamishwa Kwahyo sio vzr kuharibu sifa za vyuo watu wanatoa kodi kama vp wahamisheni
 
Back
Top Bottom