Kamwe sitakuja kutoa mahari!

Siku akikufia ndio utajua kwanini wahenga walipata tabu sana,
na kilicho wapelekea kusema misemo yao...
 

Wewe mwenyewe unakuwaga bikira?
Au unataka mwenzio tu ndio awe bikra!!
It works on both side brother.
 
true true naunga mkono hoja..unatoa mahali bado anakusumbua anapigwa pigwa nje tu...sitaki kusikia kitu kinaitwa mahari...kama atakubari tukae pamoja tulee mtoto/ watoto basi..hii mambo ya kwenda kutoa sijui 2.5..e.t.c kwangu hapana hela mingi hizo bora ule hata kabata kadogo dogo
 


Naunga mkono hoja na kwa kweli wanaume tunaojitambua tupeleke pendekezo hili bungeni ili iwe sheria.....Ni marufuku kutoa mahari kwa mwanamke kama si bikra. Ebu fikiria changu kama Wema, Sanchoka, Hamisa, Giggy Money, Diva Bawse Lady, na machangu wengine wasiojitambua wanakuambia mahari yangu milioni 100 for what wakati ni changu tu au cha wote? Wanaume tuache ujinga haswa nyie wa Dar, Pemba, Zanzibar, Tanga, Pwani, this is more than nyege za kijinga....changu hana mahari hata siku moja na hapaswi kuolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…