Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Sawa Mkuu tunayaheshimu mawazo yako na hongera kwa kuanzisha uziKwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wale haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari
Sent by Diaspora
Mzee mahari ni Kama heshima kwa familia au zawadi na watu hawalipi kwajili ya bikira .Kwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wala haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari
Sent by Diaspora
Bikra itakusaidia nini? Katika maisha yenu ya ndoaKwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wala haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari
Sent by Diaspora
naunga mkono hoja..Kwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wala haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari
Sent by Diaspora
Utakusaidia kuondoa stress za ex wa mkeoBikra itakusaidia nini? Katika maisha yenu ya ndoa
Lahasha! Huu si u-ungwanaaaHiyo imekaa vizuri , kuwa na bikira ni matunzo mazuri ya wazazi , hivyo mahari ni shukrani kwa wazazi . Tunaishia kuoa wake za watu tena kutoa mahari !! Huu ni uuuuuuungwana ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Bikra inasaidia nn mkuu ktk maisha haya tuliyonayo?Kumbe watu wengi sio bikira humu
Bikra inasaidia nn mkuu ktk maisha haya tuliyonayo?
Daaah kwel hapo umenenaKwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wala haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari
Sent by Diaspora