[emoji1]liwahi kuwa mwembamba nikambiwa sina pa kushikwa
Nikawa bonge nikaambiwa sipigi gemu balabala
Nimeamua kuwa na mpenzi BIA tusker maana yeye hajawahi nitenga
Aisee! Mkuu hii ya kusifia kwa fulani, mi nilimwambia simple "mimi naona nikupe uhuru una haki ya kuwa na furaha maishani, sasa we nenda kwa huyo mi sina kinyongo chochote" nikawa busy na mambo yangu kipindi hicho ndio nimemaliza university bado ramani hazijakaa sawa.Ukiweza kuishi kidume dume hutakaa upate shida. Ukiendekeza U Beijin ujue siku zako si nyingi.
Unaishi na mke kama malaika lakini cku unamsikia skisifia fulani au kwa fulani! Hiyo ni dalili kuwa hajaridhika japo anajua abc zako. Dawa ishi kama mwanamme!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wasichana hawaridhiki ila wanawake wanaridhika
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Eti wanaume wote ni sawa mana tumezaliwa na mwanamke.
Kwani nani aliyetoka kwenye dushe direct bila kupitia kwa mwanamke?
Kwanini kwenu ni masikini sas? Nilidhani umerithi iyo tabia.kasoro mimi... mimi najua nataka pesa
Kwahiyo huwa mnawatumia!!Hivi unatoa wapi muda wa kumchunguza mwanamke na muda mwingine wa kumtumia?
Labda nimetumia lugha mbovu kidogo...Kwahiyo huwa mnawatumia!!
Mnatuwaza wakati nyie wenyewe mmejishindwa. Hizo akili mzihamishe muwaze vya maana viwanda vijengwe.
Kuna mtu jana alisema laiti akili watumiazo wanaume wa Kitanzania kuiwaza papuchi wangeziwekeza kwenye mambo ya msingi tungefika mbali sana, nilimuelewa sana.Labda nimetumia lugha mbovu kidogo...
Ila hicho hicho unachomaanisha ndicho nilichomaanisha. [emoji4]
Naomba niendeleze matusi... laiti akili watumiayo wanawake kutafuta viboba wapate hela wangewekeza hiyo akili kwenye ujasiriamali walai Tanzania ingekuwa zaidi ya sweden.Kuna mtu jana alisema laiti akili watumiazo wanaume wa Kitanzania kuiwaza papuchi wangeziwekeza kwenye mambo ya msingi tungefika mbali sana, nilimuelewa sana.
Sie tunazaa kwa uchungu.Naomba niendeleze matusi... laiti akili watumiayo wanawake kutafuta viboba wapate hela wangewekeza hiyo akili kwenye ujasiriamali walai Tanzania ingekuwa zaidi ya sweden.
Sie tunazaa kwa uchungu.
Alafu unajua mkishakuwa matajiri automaticaly na sie tunakuwa matajiri. Yaani hata vibomu vinakuwa vikubwa kubwa.
Sio tusi hilo maana alilisema mwanaume mwenzenu, yaani ni ukweli mtamu kweli.
Ww umejenga kiwanda gan??Kwahiyo huwa mnawatumia!!
Mnatuwaza wakati nyie wenyewe mmejishindwa. Hizo akili mzihamishe muwaze vya maana viwanda vijengwe.
Wewe mbona unawekeza kwenye dushe??Kuna mtu jana alisema laiti akili watumiazo wanaume wa Kitanzania kuiwaza papuchi wangeziwekeza kwenye mambo ya msingi tungefika mbali sana, nilimuelewa sana.
Shemeji, hilo ndilo jukumu la mwanamke usipindishe maneno.Sidhani kama ni vizuri kutumia ngao ya jukumu lenu la asili tena la kibailojia kujitetea. Kuzaa sio jukumu la mwanamke ila kuzaa ni mwanamke( sijui umenielewa shem)
Mpo wengi bhana sasa hata kila mwanamme aseme basi mimi nitakuwa namhonga tu huyu je hao wengine watakaokosa?
Kumbe ni mashindano!! Mwisho utauliza mbona huolewi?Ww umejenga kiwanda gan??
Wewe mbona unawekeza kwenye dushe??
Hahaha.Shemeji, hilo ndilo jukumu la mwanamke usipindishe maneno.
Ukiwa nazo nyingi unatupatia tu wote bila matatizo kabisa.