Kuna watu wabahili sana...yani yeye miaka nenda rudi ni mbahili tuuu...hanunui nguo..hali...HAONGI...HAGEGEDI.....hajengi...lakini huoni akiendelea..
Jamani ubahili hauleti utajiri...bali mipango ndiyo huleta utajiri...
Akili ya utajiri iko kwenye kupata na sio kutumia. Ukijaliwa akili ya kupata au kutafuta hela wewe utakuwa tajiri kutumia sana au kidogo au kuwa mbahili hakuwezi kukufanya uwe tajiri.
Akili ya utajiri iko kwenye kupata na sio kutumia. Ukijaliwa akili ya kupata au kutafuta hela wewe utakuwa tajiri kutumia sana au kidogo au kuwa mbahili hakuwezi kukufanya uwe tajir
Akili ya utajiri iko kwenye kupata na sio kutumia. Ukijaliwa akili ya kupata au kutafuta hela wewe utakuwa tajiri kutumia sana au kidogo au kuwa mbahili hakuwezi kukufanya uwe tajiri.
Kuna ndugu mmoja yeye alikuwa mbahili kiasi kwamba ata ela ya matumizi alikuwa hatoi nyumbani...alichokuwa anafanya alikuwa anaenda hadi sokoni ili hali ana watoto wa kuwatuma...ata chumvi ikiisha anaenda kununua yeye...yaai kwa ufupi alikua ana-monitor kila ela anayotumia, na hakuruhusu leakage yeyote..hadi shilingi mia kwake ilikuwa na dhamani kubwa sana..but hatuoni maisha yake kubadilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.