Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,320
Katika rabsha za hapa na pale jamaa kalikwaa gono kwa nyumba ndogo. Baada ya siku kadhaa maumivu makali, kaenda hospital kaambiwa ana gono. Kapewa ma-antibayotik, kapona but siku chache baadae ikarud kama awali. Kagundua kuwa nyumba ndogo nayo inalo, but haipat maumivu, kamwambia kweli, demu kakubali kutibiwa. Baadae jamaa kaumwa tena, na sasa kagundua gonjwa lipo kwa wife. Wife alishamhisi na kumuuliza juu ya mahusiano nje ya ndoa jamaa kagoma vibaya sana. Sasa kasheshe linakuwa amwambieje mkewe? Maana mke haonyeshi dalili lakini kila jamaa akila antibayotiki akapona, akilamba asali kwa mkewe gonjwa linarudi.
Anajiuliza kuwa aanze vipi kuanza kumueleza mkewe wameambukizwa gono, ili mkewe atumie dawa?
Ingekuwa wewe ungefanyaje?
Anajiuliza kuwa aanze vipi kuanza kumueleza mkewe wameambukizwa gono, ili mkewe atumie dawa?
Ingekuwa wewe ungefanyaje?