Kuna dictionary ya TUKI imesambaa sana hasa miongoni mwa wanavyuo,kama unafahamiana na mtu yeyote anayesoma chuo kikuu mwombe akutafutie kwa jamaa zake. Ukishindwa nipm tuone namna ya kukupatia maana set ups (executable files) hazikubali kutumwa kwenye e-mails kirahisi (labda wataaamu watusaidie ili niweze kukutumia)