Kampuni zote Tanzania zatakiwa kuanza kutumia dot-tz badala ya dot-com

Inconvenient Truths

JF-Expert Member
Oct 21, 2014
439
354
Huu ni UDIKTETA ambao hata Mwalimu alikuwa hautaki. Hii ni sawa na kulazimisha watu wanunue ma friji yenye rangi ya bendera ya Tanzania. Na gharama yake wanasema ni 30,000!!!!!

Katika hali ya kustaajabisha na kuurudisha nyuma kimaendeleo serikali ya Baba J inazidi kuwa mbaya kifedha. Sasa kutokana na desperation ya kukusanya kodi kuna amri imetoka kuwa kampuni zote zilizosajiliwa na BRELA zenye tovuti zao ni marufuku kutumia .COM na TCRA inasema ni LAZIMA kampuni hizo zitumie .TZ

mfano Jamiiforums.com itapigwa faini hivyo lazima watumie jamiiforums.tz

Mimi sasa najuta kwa nini nilimpigia kura huyu jamaa.

Kama ingekuwa tovuti zao za serikali ambazo haziwi updated ningeeona sawa lakini hii ya kulazimisha private businesses kuwa na domain name za Tanzania sidhani kama ni jambo la busara maana kesho tutalazimishwa kuwa lazima tuwe tuna host humu humu bongo wakati kuna hosters wako wengi tuu nje ya nchi.

Haya ni mazingaombwe kama ya TRA na kiini macho kinachoendelea ni kuwa hata zile mbwembwe za makusanyo ya kodi ya TRA ya 1.2 trillion ilikuwa ni zuga tuu kwani walichokifanya ni kukusanya pesa za faini na madeni ya nyuma na kwa sababu hakuna kinachoendelea sasa hivi TRA hawana wanachokusanya sasa solution yake ni kutulazimisha tuwe na domain name za .TZ

Mbaya zaidi hawakuishia hapo, mashirika yanayoleta misaada (NGO) toka nje ya nchi zimeambiwa msaada wowote utakaokuja Tanzania kama vile vifaa vya zahanati, nguo za watoto yatima,maalbino, viti vya wanafunzi na vinginevyo navyo vyote vitalipiwa Ushuru na VAT hata kama kuna uthibitisho toka kwa mkuu wa wilaya, mbunge mkuu wa mkoa etc kuwa hivyo vitu vinaenda kusaidia wasiojiweza huko vijijini. Yaani mtu anakuletea msaada na wewe unamtoza kodi kwa kukusaidia

Lakini serikali hii haikushia hapo. Sasa hivi kama unadeni serikalini bas TRA wana uwezo wa kuingilia kwenye akaunti zako au za mkeo na kuchukua pesa pasipo kupewa idhini hiyo na mamlaka husika kama vile mahakama.

Habari zaidi soma hapa:

Lakini tujiulize nani mmiliki wa hiyo domain name ya .TZ??

Alimtumia nani ku lobby kutulazimisha tutumie domain name tusizozitaka?

Kwa nini serikali inaingilia uhuru wa private sector ku run biarasha zetu?

Mwishowe tutaambiwa tusitumie Yahoo au hotmail au GMAIL au emails tunazotaka



TCRA-public-notice-dot-TZ-domains.jpg
==================

The Tanzania government through the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) yesterday published a public notice in dailies reminding business entities registered in the country they should have and use dot(.) tz domain names. TCRA said the notice seeks to ensure businesses comply with regulatory requirements and contribute to national revenue. The notice does not however restrict the ownership of other domains meaning an organization operating in Tanzania with a .com, .net, .org, or any other domain ending then you are required to register a respective .tz domain name. The price of a .TZ domain is 25,000/- per annum (Kshs. 1154).

The Tanzania Network Information Center (tzNic) serves as the national registrar of all .TZ domains for TCRA as well as both as the technical and administrative Manager of dot-tz. TzNic will every three months submit the information on IP addresses and domains registered to TACRA in line with these requirements. The regulations also require the use of .tz addresses in electronic communication and all official correspondences unless where proven technically impossible.

This directive however goes against the ICANN objective of increasing competition and consumer choice in the name space. ICANN recently opened its first African engagement office in Nairobi. The office looks to drive engagement and increase participation of stakeholders in the African continent. ICANN is a not-for-profit public-benefit corporation with participants from all over the world. It coordinates the internet’s naming system through domains and IP addresses.
 
Technical wise if majority of your domain traffic is being generated from TZ than .tz has enormous benefit to you; as you keep local traffic local instead of rerouting it

to outside world.
TCRA-public-notice-dot-TZ-domains.jpg


Katika hali ya kustaajabisha na kuurudisha nyuma kimaendeleo serikali ya baba J inazidi kuwa mbaya kifedha. Sasa kutokana na desperation ya kukusanya kodi kuna amri imetoka kuwa kampuni zote zilizosajiliwa na BRELA zenye tovuti zao ni marufuku kutumia .COM na TCRA inasema ni LAZIMA kampuni hizo zitumie .TZ

mfano Jamiiforums.com itapigwa faini hivyo lazima watumie jamiiforums.tz

Mimi sasa najuta kwa nini nilimpigia kura huyu jamaa.

Kinachoendelea ni kuwa hata zile mbwembwe za makusanyo ya kodi ya TRA ya 1.2 trillion ilikuwa ni zuga tuu kwani walichokifanya ni kukusanya pesa za faini na madeni ya nyuma na kwa sababu hakuna kinachoendelea sasa hivi TRA hawana wanachokusanya. Pia mashirika yanayoleta misaada (NGO) za nje nazo zimeambiwa msaada wowote utakaokuja Tanzania kama vile vifaa vya zahanati, nguo za watoto yatima, viti vya wanafunzi na vinginevyo navyo vyote vitalipiwa Ushuru na VAT hata kama kuna uthibitisho toka kwa mkuu wa wilaya, mbunge mkuu wa mkoa etc kuwa hivyo vitu vinaenda kusaidia wasiojiweza huko vijijini.

Lakini serikali hii haikushia hapo. Sasa hivi kama unadeni serikalini bas TRA wana uwezo wa kuingilia kwenye akaunti zako au za mkeo na kuchukua pesa pasipo kupewa idhini hiyo na mamlaka husika kama vile mahakama.

Habari zaidi soma hapa:
Tanzania Government Demands Businesses Registered in the Country Use .TZ Domains

Lakini tujiulize nani mmiliki wa hiyo domain name ya .TZ??

Alimtumia nani ku lobby kutulazimisha tutumie domain name tusizozitaka?

Kwa nini serikali inaingilia uhuru wa private sector ku run biarasha zetu?

Mwishowe tutaambiwa tusitumie Yahoo au hotmail au GMAIL au emails tunazotaka
 
Acha waisome namba eee, ccm mbele kwa mbele.

Mtoa mada huo wimbo ulipokua unaimbwa ulikua unafurahi sana ukijua kua watakaoisoma namba ni ukawa, sasa unaisoma na unajuta.

Huna haja ya kulaum maamuzi yako, ishi maamuzi yako.
 
Mtoa mada wewe sio mzalendo
Hivi kwanini kilajambo mnalipeleka kisiasa!!
Umeelezea mabaya pekee
Kanakwamba hakuna lolote zuri!!
Serikali yetu haitumii akili kufanya vitu bila ya faida?

Naomba utuambie ni ipi faida ya nchi kuwa na domain yake Mfano tz,ke,za?
Kutafita kick kwq mambo ya kuumua
Kuliisha 2015
Tumieni akili na weredi kukosoa awamu hii
 
Back
Top Bottom