Kampuni zinazokumbatiwa NHIf

Kampuni zinazokumbatiwa NHIf

kishare

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
8
Reaction score
1
Wadau sisi wapiganagi wa NHIF tunachoshwa na baadhi ya wakurugenzi wanaoingilia michakato ya manunuzi kwa kuwa pigia kifua watu wao haswa katika manunuzi ya ICT michakato inakua mirefu kwa masilai yao uko huduma zikidhorota,tumechoshwa na sasa tunaweka wazi. KAMPUNI ya FM COMMUNICATION LIMITED imekuwa ikiwekwa msitari wa mbele kila siku wakati huduma zake ni dhaifu ndani ya miezi 4 isha zoa milioni 300 , Nyingine ni COMPUTER CONNECTION LIMITED,SOFTNET LIMITED ambao walipigiwa sana kifua na mkurugenzi mpya (jina tutawapatia next time, huyu jamaa ni mtaalamu wa kupindisha mambo na nikikwazo kukubwa cha maendeleo ya NHIF) wapewe project feki ya data center ambayo gharama yake ilikua zaidi ya milioni 800, ambayo iligonga ukuta.

Data tunazo vijana tumekamilika tuna fanya kazi tulizo agizwa.

Wadau nawasilisha kwenu.
 
Unaandika kwa uoga! Si ungeacha tu hadi utakapoamua 'LIWALO NA LIWE' ndo ungemwaga mavituz!
 
[h=2][/h][h=2] NHIF yenyewe kama yenyewe ni janga la taifa maana huwezi ukaajiriwa kama wewe si mtoto wa mtu alieko serikalini,kwa hiyo wacha nao waibiwe maana mwosha huoshwa na wewe mwenyewe kama unafanya kazi huko ni vile tu umeshikwa mkono usingeshikwa mkono ungekuwa mtaani tu kwa hiyo acha majungu kumbuka umefika hapo kwa neema tu maana kuna watu kibao wanakuzi sana qualifications na experience bt ukawazibia riziki
[/h]
 
Back
Top Bottom